Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 682
Habarini wakuu Simu tajwa hapo juu.. Hatimaye Nimeweza kui unlock bila kutumia PC sasa naweza kutumia mitandao yooote .... Shukran ..
asante kwa taarifa na mimi nna iphone yenye ilolokiwa unaweza iaunlock nikupe bureHabarini wakuu Simu tajwa hapo juu.. Hatimaye Nimeweza kui unlock bila kutumia PC sasa naweza kutumia mitandao yooote .... Shukran ..
Aah asantee mkuuwewe mjanja kweli
Model yake ni ipii mkuuasante kwa taarifa na mimi nna iphone yenye ilolokiwa unaweza iaunlock nikupe bure
Mmmmh ni salama kweli mkuu??Vidole vya mikono yangu jumla yake 10 vidole vya miguu yangu jumla yake 10
Najua kuhesabu namba
(12345678)
nilikumbuka vidudu/nursery/chekechea/kindergarten
Hizo si FBI wanahangaika nazo ?asante kwa taarifa na mimi nna iphone yenye ilolokiwa unaweza iaunlock nikupe bure
salama na siko nje ya mada huo wimbo umebeba ujumbe wa thread yakoMmmmh ni salama kweli mkuu??
Mkuu naomba msaada wako na kwangu piaHabarini wakuu Simu tajwa hapo juu.. Hatimaye Nimeweza kui unlock bila kutumia PC sasa naweza kutumia mitandao yooote .... Shukran ..
Y3+ haina unlock code, wala mfumo unaofanana na ivo.. Kama ujahitaji kujua jinsi ya ku-unlock free nitumie message private nitakupa muongozo.Huyo kalipia online nijuavyo ndo akatumiwa unlock code
Ha ha ha.. Icloud itakua hiyo... Ikitoka nakunya vifunguvifungu mpaka tangaasante kwa taarifa na mimi nna iphone yenye ilolokiwa unaweza iaunlock nikupe bure
Sasa si uweke kwa faida ya wote .Y3+ haina unlock code, wala mfumo unaofanana na ivo.. Kama ujahitaji kujua jinsi ya ku-unlock free nitumie message private nitakupa muongozo.
Sio kwamba siwez kuweka bro, sipend kuchafua thread za watu.. Kama upo interested kujua piga 0714726165 nitakuelekeza free of charge.Sasa si uweke kwa faida ya wote .
Kama umeweza kuweka huu uzi unashindwaje kutoa muongozo ulichokifanya watu wafahamuSio kwamba siwez kuweka bro, sipend kuchafua thread za watu.. Kama upo interested kujua piga 0714726165 nitakuelekeza free of charge.
Wewe hizi sio kama Vodafone ili utumiwe code za ku unlockHuyo kalipia online nijuavyo ndo akatumiwa unlock code
Asantee kwa kumjibuY3+ haina unlock code, wala mfumo unaofanana na ivo.. Kama ujahitaji kujua jinsi ya ku-unlock free nitumie message private nitakupa muongozo.