Kifurushi Cha Mwezi Mzima cha Internet Vodacom

Kifurushi Cha Mwezi Mzima cha Internet Vodacom

King Octavian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
403
Reaction score
353
Wakuu mambo vipi! Naomba kuuliza kwa waliowahi kutumia au wanaotumia hivi vifurushi vya internet vya voda, wanidaidie kwa hili hiki kifurushi cha internet cha mwezi cha kudownload bila kikomo(unlimited download) wanachokiuza shillingi 40,000/= je, speed yake ya kudownload nayo ina pungua kasi unapokua umedownload GB kadhaa? au ni uniform speed kwa muda wote ndani ya huo mwezi husika? Nimeuliza hivi kwa sababu nimewahi jiunga na kifurushi cha wiki nzima chenye gharama ya shilingi 12,500/= mwanzoni speed ikawa powa inayokwenda mpaka 1Mbps, lakini baada ya kudownload kama 2Gb speed ikashuka saana mpaka kwenye 30kbps. Kwa wenye ufahamu wanisaidie kwa hili nataka kuunga kifurushi hiki lakini nahofia isije ikawa kina utaratibu kama wa cha wiki, elf40 nyingi bwana.
Hiki cha mwezi kinapungua speed au hakipungui? na kama kinapungua ni baada ya kudownload Data kiasi gani?
Asanteni.
 
ndo hvo tu, yaan uksha shusha 2GB, knachofata ni konokono, hata youtube utateseka kuchek, n bora uwe unajiunga kila cku cha Tsh. 899/=
 
ndo hvo tu, yaan uksha shusha 2GB, knachofata ni konokono, hata youtube utateseka kuchek, n bora uwe unajiunga kila cku cha Tsh. 899/=

duh! kwa hivyo mwendo ni uleule, hawa voda c wapo humu, why this voda its not fair, if its UNLIMITED let it be unlimited for real
 
Hiki kifurushi cha mwezi kinapungua speed baada ya kuownload data za GB3.Bora kununua kifurushi cha (limited plan) mwezi cha GB5 kwa mwezi kwa shilling elfu 25.
 
Hiki kifurushi cha mwezi kinapungua speed baada ya kuownload data za GB3.Bora kununua kifurushi cha (limited plan) mwezi cha GB5 kwa mwezi kwa shilling elfu 25.

Unaonaje mm nikawauzia offer zinazopatikana kwenye mordem za 5Gb kwa 10000?
 
Hiki kifurushi cha mwezi kinapungua speed baada ya kuownload data za GB3.Bora kununua kifurushi cha (limited plan) mwezi cha GB5 kwa mwezi kwa shilling elfu 25.

mkuu hapo gb5 kwa 25000 elfu duh! ni kizuri lakini hakinitoshi kabisa mkuu
 
Mkuu King Octavian ukiacha hilo la kupungua speed, binafsi nakumbana na tatizo la moderm yangu kuwa inaji - DISCONNECT kiasi kwamba wakati najua nimeacha mzigo unadownload matokeo yake nakuta drama tu vp na kwenu wadau wengine wa UNLIMITED munakutana na huu mzozo?
 
Hili lipo hata kwangu mkuu, sema linalonisaidia application ninazotumia zinaAutoconnect mtandao ukirudi halafu pili mimi vilevile ni bundi silali mapema mpka nimalize task kaka
 
Fanya Nyumba yako iwe na wifi kwa kutmia Modem Moja na Ukonekti vifaa hadi 10 kwa wakati Mmoja. Pia kama unatumia "Smart-TV" You can connect Via LAN/Wifi and watch YOUTUBE and play VIDEO Games.

Pata "TP Link 3G wifi Router" with Custermisable firmware(DD-WRT)

Just Google "TL-WR703N" you'll see it.

For Only Tsh=80,000 tu.
Ukiipenda Just Call me.
 
unamaanisha unauza ki device tu, halafu huduma ya network natafuta mwenyewe au ipo connected kwa hiyo hela?
 
NB:
Kwangu mimi mwezi wao una siku 20
Take that note!
 
Nimekuwa mtumiaji wa bundle hii kwa miaka mitatu bila shida tena kwenye moderm na ipad. Speed poa mwezi mzima.
 
Kaa la moto speed inafika ngapi baada ya 3gb kuisha
 
Back
Top Bottom