teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Mimi natumia cm ya android ninahitaji kutumia mb zilizoko kwenye cm yangu kwenda kwa desktop kwa njia ya hotspot je nifanyeje ili ikubali kukonect?
Unahitaji Kuiwezesha desktop yako kupata wireless kwa kununua Wireless adapter ya USB au PCI. Hapo utaweza kutumia hotspot vizuri sana.Mimi natumia cm ya android ninahitaji kutumia mb zilizoko kwenye cm yangu kwenda kwa desktop kwa njia ya hotspot je nifanyeje ili ikubali kukonect?
Kuna all in one pc mfano Imac na mengine ya HP yanazo wireless na desktop nyingi za sikuizi wireless zinazo...He he he he he in dr mwaka chuckles...
Desktop computers huwa hazinaga Wireless LAN kiongozi simaanishi zote ila tokea sijawahi kutana na yenye hio kitu isipokuwa huwa zina ethernet port (wired LAN).
Cha kufanya ni kuitumia simu yako kama modem. Ichomeke simu kwenye kompyuta kwa kutumia usb. Nenda kwenye settings za simu yako..kwenye wireless & networks kuna sehemu ya more bofya> tethering and portable hotspot> Usb tethering.
Washa data kwenye simu yako then baada ya kitambo kichache icon ya LAN connection ikionekana kwenye desktop yako utaanza kula mema ya nchi!
ndio maana nilitangulia kusema simaanishi zote hazina wireless LanKuna all in one pc mfano Imac na mengine ya HP yanazo wireless na desktop nyingi za sikuizi wireless zinazo...
Upo wapi nije nikuuzie wifi adaptor then nikufanyie configuration. Nichek 0718 290779Mimi natumia cm ya android ninahitaji kutumia mb zilizoko kwenye cm yangu kwenda kwa desktop kwa njia ya hotspot je nifanyeje ili ikubali kukonect?