Thanx mkuu kwa mchango, me cfanyi kazi nimemaliza chuo last year so nikataka kujiendeleza na professional koz bt bajet ndo imekua finyu ila nahitaji nifanye carrier zote hizo2 so ipi nzuri kwa kuanzia?Kwanza unafanya kazi kama nani?ccna is for net admin while oracle ni db admin.hapo tu ushapata majibu.
Pili, unataka kuwa nani in ua carrier?net or db?that wl help u.zote marketable jst depend hw best ua
anaweza fanya zote, one at a time..,inategemea pia na interest yakeLazima uchague moja aisee,kama unataka network ni hiyo ccna kama ni db basi ni hiyo Oracle .ndio maana ya kutaka professional.
Nimeambiwa nichague kufanya koz1 kati ya ccna au oracle db ,je nichague ipi wakuu? Ipi marketable kwa sasa?..natanguliza shukran