Thanks mkuu.... Ngoja nifanye hivoUnatumia deki kuzisoma hizo nyimbo kutoka kwenye flash?
Kama ndio je ni za video au audio? Kwa ninavyojua kama unaweka flash kwenye deki hasa hizi za kichina huwa haziwezi kusoma baadhi ya formats type za video haswa Mp4 au Mkv au flv bali format ikiwa ni AVI huwa mara nyingi inasoma sasa cha kufanya download software inaitwa any video converter au video converter yeyoye alafu convert hizo video zako kwenda AVI baasi zitaimba paka deki itoe Moshi.