Wakuu ni hivi,natumia tecno w4 ambayo niliweka laini ya Halotel na tigo.Simu hii ilikua na kawaida kwamba nikiwasha data inastack sana,niliwahi kulileta humu tatizo hilo ila sikupata solution...
GSM-Forum kuna mtu kuna mtu humu ni fundi wa simu ama anajishugulisha kwa namna yeyote kutoa solution kwa msaada wa google au youtube basi ajitahidi kutunza hizo mbinu kwani muda si mrefu huenda...
Habari za hapa Wadau..
Naomba kujua vifaa gani vinatajika niweze kutumia king'amuzi kimoja ktk TV mbili.. (Moja sebuleni nyingine chumbani)
AINA YA KING'AMUZI NI ZUKU....
ASANTENI SANA!
Habari wataalam.
Naomba tushirikishane game nzuri hasa za magari na nyinginezo ambazo zipo full na zisiwe trial, pia ambazo mtu anaweza kuzicheza offline.
Natanguliza shukrani.
Habari za muda huu, naomba msaada kama inawezekana, natumia simu aina ya tecno C8 nahitaji kubadilisha aina tofautitofauti za miandiko (fonts style) bila ku-root simu yangu.
Msaada please,
Je uliwahi kujiuliza kwamba 2G, 3G, 4G, 5G maana yake ni nini?
Katika sekta ya mawasiliano, ni kawaida kuwasikia wataalamu na wakati mwingine watu wa kawaida wakizungumzia kuhusu teknolojia ya...
Kuna mashine ya kufulia aina ya Indesit wixl 143s. Ilipata tatizo la drain pump kuungua pamoja triac husika. Nimepata spare husika na kuziweka. Mashine inafua lakini bado pump haizunguki ikifikia...
Wadau habari,
simu yangu ya Tecno C9 inatatizo sehemu ya phonebook, yaani ukibonyeza jina halifunguki,nikitaka kupiga simu mpaka niandike namba kwenye karatasi.
Wale wenye uzoefu na izi smart phone na atufafanulie hapo Kati ya laini ya tigo na halotel ipi inapasua kwa kasi intenert? Ukiweka kwenye Simu yenye uwezo wa 4G?
Habarini za kazi wanajamvi!
Natumia LG G2, kuanzia jana nimepata tatizo kila nikifungua application screen inastack kwa sekunde chache ndio niweze kuendelea. Baombeni msaada wa nin naweza...
Kampuni ya kutengeneza vifaa vya teknolojia ya computer "Kingston" February 2017 itaingiza sokoni Flash yenye ukubwa wa Terabyte 2 (GB 2000).
=====
MANILA, Philippines – Three years after...
Nilikuwa natumia lumia 625(4G) na sim card ya tigo ya 4G ila kwa sasa nimepata tecno c8 lakini nikiiweka hii laini ya tigo inasoma ila shida ipo kwenye network yakupiga simu ndio shida kila Mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.