Msaada wa password ya WiFi ya bure Sony Bravia

Crocozilla

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
469
335
Natumia sony bravia smart tv na dish la azam. Kila nikiweka simu yangu on kwenye wifi inaletea sony bravia wifi inaonekana iko na nguvu sana. Naomba msaada wa kujua password maana inahitajika. Msaada wadau.
 
Hiyo wifi ni special kwa miracast na mirroring mkuu .kama simu yako ina hivo vitu nilivyovitaja waweza share simu yako na tv ukafanya kile kitu ufanyacho kwa simu kionekane kwa tv
Yap hata kwenye simu yangu vipo ila sijui matumizi
 
Natumia sony bravia smart tv na dish la azam. Kila nikiweka simu yangu on kwenye wifi inaletea sony bravia wifi inaonekana iko na nguvu sana. Naomba msaada wa kujua password maana inahitajika. Msaada wadau.

simply a way of a phone to communicate with the TV, no WiFi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom