Wakuu habari za kushinda, naomba msaada wa maelekezo niweze kupata customized Rom kwenye simu aina ya samsung 4 na Samsung Note 3.. natanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakayeweza kunipa msaada.
Wakuu habari
Naombeni mwenye ujuzi zaidi anisaidie hii ishu. Iko hivi, nilinunua galaxy s4 LTE I9505 na nikairoot kwa kingroot kupata root access(nishawahi Fanya kwa simu kadhaa). Baada ya kupata...
Nimatumaini yangu kuwa muwazima wa Afya njema
Husika na kichwa cha habari hapojuu, mimi ni mtumiaji wa simu ya HUAWEI Y530,Androi v4.3 ambayo tayari nimesha ROOT, hivyo naombeni msaada wa jinsi...
FM radio broadcasting was invented in the United States in 1933. After a slow start, it became wildly popular all around the world, largely because the frequency modulation technology used offered...
Huwa nasikia kwenye makampuni ya simu kuwa baada ya muda fulani watabadilisha network ya 2g au 3g na juzi hapa nimeona matangazo kwenye mtandao wa kampuni ya Tigo kuwa wamezindua network ya 4G...
Poleni wajumbe,
naombeni msaada wa kufanya setting ya game kwenye laptop yangu ili PAD iweze kuplay hasa game la mpira mfano pro evolution soccer 2016 limekataa kabisa kuplay
Nimekuwa nikihangaika kupakuwa movies alafu sifikii tamati bundle kuisha naomba kueleweshwa
Kama unaweza shauri hapa tushirikishane kujua ni bundle za mtandao gani zinaweza kuwa bei lahisi ili...
Wana bodi nimepata kulisikia hili jambo. Kama kuna anayejua hizi apps kwenye smart phones anieleze. Apps zinazoweza kudetect uwepo wa torch za spidi barabarani na umbali wake.
Nawasilisha.
Habari zenu wadau poleni na mihangaiko. Nina laptop yangu ya Dell core 2,ram 2gb, hdd 320 iko slow sana na bado sijaiwekea vitu vingi space ambayo Tyr nimetumia mpka Sasa hivi haijafika...
Natafuta maarifa ya nini hasa huwezesha mchakato huo kutokea kwa uchanganuzi wa kisayansi.
Mabadiliko yanasabishwa na nguvu ya graviti-(gravitational force) ya-mwezi-na-jua-inayovuta-dunia yetu...
Ndugu zangu cjui ni ushamba wangu, maana nimevumilia nimeshindwa.. some time kuna social network nimeingia nimekuta picha au video nimeipenda nikiicopy au kusave inaniambia. Video hiyo nimeicopy...
Hivi ni site gani au kampuni gani ambayo wanaregister domain bila longo longo hapa Tz maana kuna kampuni... Kwa jina naihifadhi nimelipia domain takribani wiki nzima hakuna kinachoeleweka..
Hebu...
Kama kichwa cha habri kinavyojieleza kwa yeyeto mwenye utaalamu huo naomba anielekez nahitaji ku upgrade simu aina hiyo
Upadates
Ni kutoka 4.1.2 kwenda 4.4.2
picha ya juu ni sehemu anayowekea karatasi na kui view kwenye monitor
Picha ya kati anaweka akaratasi ama kitu anataka akisome
Tatu anaonekana akisoma
wajuzi hii kitu ilikuwepo miaka gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.