Wapi naweza kupata short course ya graphic designing na video editing kwa Dar?

choupa moting

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,508
2,561
Habarini za usiku wadau,
Tafadhali naomba kuelekezwa kama kuna sehem kwa hapa DSM wanatoa short course ya graphic designing na video editing na bei yake ikoje?
Natanguliza shukran na niwatakie usiku mwema.
 
Download software kama adobe package yote then anza na moja moja unChek tutorial utube then unafanya mambo kikubwa machine iwe na uwezo mzr kdgo sio unaoperate adobe after effect kwenye pentium inside utakesha
 
MBONA majibu yote hayajalenga aluchouliza mtoa Maada. Hata mimi natafuta sehemu nijifunze
 
Kuna colleges kibao tu zinatoa hiyo course.

Mimi sikuwa na pesa ya kulipia wala computer, nilichofanya nikawa naenda kwa jirani yangu natumia computer yake.

Nilijifunza kupitia YouTube tutorials.

Mpaka sasa mi ni kama professional graphic designer

Ila inahitaji moyo wa uvumilivu coz usilazimishe kuelewa vitu vyote kwa wakati mmoja. Jifunze kitu kimoja baada ya kingine. Ukiwa creative na fast learner inakuwa rahisi zaidi. Kila siku najifunza vitu vipya na nimeshawafanyia kazi watu wengi.


Download software zote hapa www.softasm.com

Kisha ingia YouTube download tutorial za jinsi ya kutumia
 
Nahitaji program ya kurisize pictures haswa passport inaitwa micromedia fireworks 8 naipataje kila nkidownload inakataa haipigi kazi
 
Back
Top Bottom