Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu tatizo ni nini, kila nikituma ujumbe wa kawaida kwa njia ya simu , meseji haziwafikii kwa wakati, vivyohivyo nao wakinitumia zinachelewa kunifikia!
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Yiutube account naweza kuipataje tafadhari naitaji kujua
0 Reactions
1 Replies
923 Views
Wakuu bila shaka hamjambo, nimekuwa na tatizo kwenye printer yangu wakati wa kupiga copy na ku-print wino umekuwa ukionekana kumwagika sana upande mmoja kama inavyoonyesha, kama kuna wataalamu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima yenu wakubwa, Naombeni kufahamishwa mbinu za kuanzisha mbinu za e-commerce kama Amazon, Alibaba na kibongo bongo kama Kupatana. Nipeni msaada wa je kuanzisha na kuendesha kwake huwaje na...
1 Reactions
1 Replies
769 Views
Naomba msaada wa program itakayoniwezesha kutumia simu yang kama moderm. Nakumbka kuna wakati msela wang alinpa nimeisahau ilikuwa na uwezo wa kutumia simu yoyete ile kukonect na internet. Naomba...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu naomba mwenye Idea jinsi inavyo fanya kazi, Nilikuwa na Idea ya Kutengeneza sms zenye kutoa elimu hasa ya Ujasirimali ila hizo sms zitakuwa zinakatwa hela kidogo my be Tsh 100 ay Tsh 200...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau polen na majukumu,samahani naomba kwa mwenye kufahamu rooting mode ya MAXON X3,plz tusaidiane.yani simu ina apps ambazo ni unnecessary zinamaliza internal memory
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu naomba mwenye raman ya nyumba ya vyumba vitatu anisaidie
0 Reactions
5 Replies
5K Views
wakuu,habari zenu,naomba msaada nimeinstall uktvnow app 8.1 nilipofungua channels zikawa zinafunguka lakini baada muda zikagoma kabisa kufunguka sasa sijui tatizo liko wapi.
0 Reactions
0 Replies
793 Views
habari wanajukwaa nina blog mbili moja ya kiswahili na nyingine ni ya kiingereza , sasa hii ya kingereza imekubaliwa na adsense sasa nilikuwa naomba msaada nahitaji kuweka matangazo haya ya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Yani nikataka kutengenezewa app nikampa maelezo mtaalamu Wa kwanza kaniambia 20,000usd, mwingine 15,000usd, mwingine 1000usd, hapa nimestack, minataka simple app tu jamaa zinanipa bei balaa, ila...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Jamani, nimejiunga na Appnext ila unapokea malipo yao kwa njia ya wire transfer, sasa kuna vitu vifuatavyo nimetakiwa kuvijaza lakini sijaweza kuvifahamu kwa hiyo naombeni ufafanuzi wenu wadau...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
having problems with rooting ur android??,,it is very easy jus PM me and i will give u directives so that u can enjoy ur android phone Download #root checker basic from playstore, then download...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu kuna simu yangu imegoma kuwaka baada ya kufanya rooting,ikiwaka aifanyi chochote. niliiroot kwakutumia kingroot,baada ya kuroot nikadownload ifont na kuinstall baada ya kuinstall nakajaribu...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Kila nikinunua note 4 tena mpya inaanza na hitilaf na huo upya wake. Ya kwanza mfumo wa mic ulkuwa mbovu fund mikoan ikawashinda kupata charge system. Sasa nimenunua tena note 4 mpya inawaka...
0 Reactions
8 Replies
915 Views
Simu yangu ni tecno w5 nikipiga picha, picha zake zinakuwa na ukubwa wa kati ya mb 4 hadi mb 6. Sasa ni sawa au kuna tatizo kwani naona huo ukubwa wa picha ni mwingi kwa uelewa wangu, naomba...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauliza... je kuna 'Polish-Spray' specifically for LED/LCD Tv? Au ile polish spray for laptop inafaa pia kusafishia Tv? nataka kusafisha TV na theatre. Vinachakazwa na vumbi jamani. Vyumba vya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nmb
0 Reactions
4 Replies
715 Views
TCRA TRAFFIC MONITORING SYSTEM AND THE RISE OF SURVEILLANCE IN TANZANIA It's been years now since TCRA set up the TTMS(Traffic MONITORING SYSTEM) which allows them to regulate and monitor...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana jamvi,samahani jamani kwa yetote yule anaejua matumiz ya io application walau kwa kifupi naomba ajaribu kunielekeza angalau nielewe hata kdg namna ya kuitumia Ahsanteni sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom