Naomba wa kunisaidia kutoa icloud kwenye Iphone

Mrudishie uliyemuibia anaweza akakupa kifuta jasho na utapata thawabu.
 
icloud ndo nn wakuu..tutoane ushamba kidogo na kujifunza
Simu za iphone ili kuiaccess sehemu zote inabidi uwe na apple id (kama gmail kwa android) ambayo utaifungulia hiyo icloud.
Kupitia icloud kama utawasha kitu kinaitwa 'find my phone' (tafuta simu yangu) utaweza kujua ilipo. Lakini pia atakayeiokota na kuirestore (kuifanya iwe kama imetoka dukani kwa kufuta settings na vitu vilivyomo) akiiwasha atafika sehemu ili simu ifanye kazi atatakiwa aingize hiyo icloud account.
Hua inakua ni email na password.

Hivyo hiyo simu yenye icloud utashindwa kuitumia, ndiyo maana wadau wanamwambia aitupe. Kiboko zaidi ni kua ukiiwasha tu yule anaweza kuiona mahali ilipo.
 
Iphone hizo wanazotoa za kichina sio zle wanazohangaika nazo FBI
Iphone 4 na iphone 4s unaweza ukazitoa icloud. Google utapata maelekezo kama unaweza kwenda Kariakoo mtaa wa Aggrey kuna watu wanatoa ila ni kwa iphone hizo.
 
Back
Top Bottom