JaffarMohammed
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 762
- 283

Hellow JF Members!
Naomba kufahamu kama ni kweli betri za kampuni ya Samsung zina Tracking device na zinaweza kutuma Private Data zako na kwenye Savers zao?
Kama si kweli hizo kama wires zinaconnect kwenye power ya betri ni nini?
nimebandua cover ya betri langu ili muelewe ninachokiulizia.
Pia jaribu nawe kibandua cover hiyo tuone kama na kwako ipo. Tupia picha hapa.
ASANTENI