Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,053
Kama heading inavyosema hapo juu, katila pita zangu nilikutana na simu ya samsung grand prime plus. Awali ilinivutia kwa mwonekano wake.
Ila nikaamua kuzama mtandaoni kuona specs zake ndo nikaona ina internal memory ya 8gb, RAM ni 1.5GB na display ya TFT (sio super AMOLED kama tulivyoziea japo ukubwa wake ni 5.0') sasa hapo nikawa na maswali kuhusu samsung kutumia processor ya Mediatek MT6737T katika hiyo simu, je kaamua kushuka katika budget phones aje kushindana na kina Tecno au kuna siri gani nyuma ya pazia kutumia processor ambazo zinasemekana ni dhaifu kuliko.
Nawasilisha hoja kwa mjadala na kuelimishana zaidi.