Nimeibiwa simu, nimetenga fungu kwa atakayeikamata

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,296
Wadau mambo vipi,
Juzi usiku maeneo ya Tazara nliibiwa simu yangu ni iPhone 6,kwa bahati mbaya icloud haikuwa active.

Details nyingine kama imei nnazo, najua uwezekano wa kuitrack Upo na JF kuwa hatushindwi naomba msaada wenu..!!
 
Back
Top Bottom