Vigezo gani vinazingatiwa ili website ipate ads

AfroCodes

Member
Jan 27, 2017
79
23
salam wadau

vigezo vipi vinatakiwa viwepo kwenye website yako ili kuinclude ads kama googleads, infolinks na nyingine? and which one is best?

msaada wataalam
 
kuwa na contents nzuri ambazo sio copy and paste, template iwe clean(iwe ya kuvutia), iwe na at least 20 posts na iwe ina muda kidogo
 
Back
Top Bottom