Isack Michael
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 122
- 34
Naombeni msaada kwanini computer yangu nikiingiza code(html,css) za picha video na audio inakataa naombeni msaada labda kuna sehemu natakiwa kurekebisha
Nitahukuru sana boss kama utanisaidiaNitakucheki boss