Kujifunza ArcGIS

Chrizo

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
714
792
Wadau nahitaji kujifunza hii software ya ArcGIS lakini sijui pakuanzia, ushauri wenu tafadhari.
 
Nitakufundisha part zote nne
I mean
Arc catalog
Arc scene
Arc map
Arc globe
Andaa 40000 bei nafuu
 
Njoo dar kuna colege inafundisha GIS tu pekeake uinjoy, ada nafuu mno na komputer zipo equiped with internet
 
kubali sana iyo software ndio inayonifanya ning'aze sharubu dsm....inategemea na fani yako mkuu maana ata wadau wa electrical tunaitumia .....arc map inatosha...tutorials za youtube zinatosha huitaji kupoteza ela kupata pindi
 
shukrani mkuu kwa ushauri wako...tutorial zipi youtube ni the best coz zipo nying sana
 
shukrani mkuu kwa ushauri wako...tutorial zipi youtube ni the best coz zipo nying sana
hii software iko pana sana maana hata ukitakapiga pindi mwenyewe unaenda kwa section ndogondogo mfano. waweza anza na tutorial za kutengeneza shapefiles,then ukaja kwa dimesioning na annotation, ivyoivyo mdogomdogo unajikuta unakava arc map..kujiongeza lazima kuwepo
 
Back
Top Bottom