Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

nahitaji binti,umri miaka 40 - 45,alieachika au ambae hajaolewa,awe anajitegemea.hana UKIMWI Wala GONJWA LOLOTE LA KUAMBUKIZA,asiwe sex maniac(sijui kwa kiswahili nisemeje),asiwe mlevi wa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimekuwa kila nikihudhuria sherehe mbalimbali kama harusi, sent-off na occasions zingine nawaona baadhi ya wanandoa wanakuja na watoto wachanga (kama miezi 3, 6 10).....! Wanakaa hadi saa sita -...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
please assist me on this issue, just be honest.' what does sex means/importance when ur in new relationship?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani punguzeni mavazi kina mama. Mnavaa utafikiri mnaenda vitani? Vaeni kama mchumba wangu Cheusimangala.
0 Reactions
88 Replies
8K Views
Habari za jion waungwana, Mwenzenu ninaumwa kiuno jamani, mwenye kujua dawa anisaidie.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Unajua unapokuwa kwenye mahusiano mapya nimengi hutokea namengine huwa niyakuudhi hivyo ujikuta unakaa kimya ili usije ukamudhi mwenza wako katika hili pendo jipya!! Sasa basi ukiona unampenzi...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wana jamvi nimekuja huku kwa vile najua kuna ma-nguli katika fani ya mapenzi na nawaombeni msaada wa maarifa katika kumsaidia jamaa yangu. Huyu ni sahiba yangu wa tokea udogoni ambaye ni kijana...
0 Reactions
49 Replies
8K Views
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Wapendwa, wengi wetu wataalamu wa tendo la ndoa humu, leo tuangalie sisi wanaume tufanye nini ili kuwa na furaha na mashuti ya nguvu, ukiachilia mbali balace diet, mazoezi, na some wanaume as we...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Wapendwa ndugu, jamaa na marafiki......natumaini weekend kwenu ilikuwa njema kama kwangu. tumshukuru MUNGU kwa hili. Wakati nikiwa nimekaa kwangu nikiimalizia weekend hii ya mwisho wa mwezi wa...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
REF: INSTALLING HUSBAND ! A woman writes to the IT Technical support..... Dear Tech Support, Last year I upgraded from Boyfriend 5.0 to Husband 1.0 and I noticed a distinct slowdown in the...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
WAPWA NA MABINAMU nina rafiki yangu ambaye huwa ananunua beseni zima la ndizi la dada mmoja hivi anayetembeza ndizi akisha nunua huyu dada anakaa kwake mpaka jioni anamchakachukua mpaka jioni...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kati ya mambo ambayo wanawake wengi wanakosea au hawajui ni tabia za wanaume. Kimsingi binti au mwanamke anaposhawishiwa na mwanaume na kuwa na uhusiano wa kimapenzi, mara nyingi hupanga malengo...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
nasikia kwamba wanaume wafupi manayajua mapenzi na wamejaliwa mfagio wenye saizi nzuri ambao hudatisha wanawake wengi. wanaume wafupi huwa na saizi isiyokera na pia isiyohitaji ufundi mwingi ili...
0 Reactions
194 Replies
24K Views
Baada ya kuoa na nakuvalishwa pete ya ndoa je nikiivua hiyo pete kuna kosa??kuwa nayo nakutokuwa nayo kidoleni ina sababu??
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Fikiria mmeoana na ndoa yako ina miaka zaidi ya kumi. Wote kibaiolojia mko fiti kabisa...!! lakini ndoa yenu haijabahatika kuwapeni mtoto ilhali jitihada za dhati...!! wewe kidume umechepuka...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Paid to do it, but fails to make his friend's wife pregnant after 72 Attempts A nice story, with surprising end: In Stuttgart, Germany, a court judge must decide on a case of honorable...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kila kukicha wimbi la ukahaba linaongezeka ingawaje watu wanaelimishwa kuhusu ukimwi, halafu mbaya zaidi watoto nao wanajihusisha na ukahaba jambo ambalo ni hatari kwa afya na maisha yao, je...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hivi katika mizunguko yako unakutan na demu Bomba mnaonge mnakubaliana na matumbua vyuku byere!!matanuzi yakufa mtu mnatoka club usiku mnaenda kwake unakuta anakichanga cha miezi 2!!na wewe huku...
0 Reactions
80 Replies
10K Views
Habari zenu wana JF, Napenda kuomba msaada wenu wa mawazo ili na mimi nipate ushauri wenye hekima. Nina rafikiangu alipata mchumba wakati yule kaka anamuomba dada huyo awe mchumba wake mungu...
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Back
Top Bottom