Adai Talaka kwa kudhani mume ni shoga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adai Talaka kwa kudhani mume ni shoga!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kweli, Nov 27, 2010.

 1. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wana jamvi nimekuja huku kwa vile najua kuna ma-nguli katika fani ya mapenzi na nawaombeni msaada wa maarifa katika kumsaidia jamaa yangu.
  Huyu ni sahiba yangu wa tokea udogoni ambaye ni kijana smart na amefanikiwa kimaisha kwa kiasi fulani, jamaa ni mchapakazi, anamiliki biashara yake ambayo inaenda safi tu, amefanikiwa kuoa na kuiendesha familia yake ya mke na watoto wawili bila matatizo.....
  Ila huyu jamaa yangu ana tatizo sugu la kupenda totoz, binafsi nilimuweka kitako kabla hata ya kufunga ndoa aache hii tabia ila kila mtu na kilema chake, nilishamuokoa mara kadhaa kwenye mizengwe ya mabinti na kubembeleza msamaha kwa shem.
  Shemeji ameshazoea usemi kama " Yule manzi ni ex wa Kweli" " ni mteja wangu yule" nk.
  Tuna usemi "ujanja mwingi mbele giza" na leo siku ya 4 kiza kinene kimetanda kwa sahiba,tukio lilikuwa hivi:
  Sahiba aliondoka nyumbani asubuhi na haraka huku nyuma alisahau simu yake kwenye chaji, shemeji aliskia ujumbe ukiingia na kuamua aipigizie, pengine masuala ya biashara ili amshtue Mzee, ujumbe ulisema:
  Hi sweatheart, No g'morning 2day why? still tired 4rom last night huh? talkin 'bout lasnite thanx 4 the f**k! mindblowing!!loved the blowjob, Talk 2 U l8r xxx J" Namba imeseviwa kwa jina la Joshua ila huyu hakuwa Joshua bali ni Joanna.
  Baada ya kumaliza kusoma ujumbe shem kaondoka nyumbani na simu kaondoka nayo ushahidi, sahiba kabaki jumba limemuinamia na pirika za kuwapeleka/kuwachukua watoto shule.
  Nimemfuata shem ila safari hii hataki kuniamini kabisa amenionesha tu text message na kuniambia "iweje naishi miaka yote hii nikidhani nina mume kumbe jamaa Shoga?" mbele ya baba yake mzazi, Zee la watu liliniangalia kwa jicho la hasira na kuniomba niondoke.
  Jee itumike busara gani hapa kubainisha ukweli?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  mhh huu ni msala full.....hebu ngoja tupate mbinu mbalimbali hapa
   
 3. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Si wapige namba ili kujua kama mwanamme/mwanamke ? Ni afadhali ijulikane katembea na demu kuliko na mwanamme mwenzake.
   
 4. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mhh, kwa mtu aliye msanii anaweza tu akampa simu mwanamke aipokee kwa kumaliza longolongo , tatizo jengine kwenye huu mkorogo ni kwamba huyu Joanna ni mtu wa karibu kwenye hii familia na ndio sababu jamaa aliamua aisevu namba kwa jina la Joshua.
   
 5. m

  mshemwa steven Member

  #5
  Nov 28, 2010
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  da hapo naona jambo la msingi ni kumpigia simu hiyo mwenye namba na kumuuliza yeye ni nani na huyo aliemtumia sms hiyo ni nani kwake ili ajue kwanza kama sio shoga halafu kuomba samahani hiyo nyingine ngoja tuulizie kujua unatakiwa kufanya nini halafu tutakutaarifu kaka,
   
 6. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  ila wanaume wa siku hizi ukute bwabwa kweli
   
 7. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duh mkuu Musinga jamaa 100% sio bwabwa
   
 8. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Usiwe na uhakika kiasi hicho kwa mtu mwingine.
   
 9. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ni kweli ila jamaa ni sahiba yangu wa karibu na hanifichi kitu na ningeona tu japo dalili, huyu Joanne namjua na nimeshaenda kumsaili kuhusu hii ishu na amekiri uhusiano wao isipokuwa sahiba alinificha sana kuhusu huyu Jo mpaka yalipotokea haya, kwa kweli huyu Jo ni jamaa kabisa na mke wake na mara nyingi anakuwepo nyumbani kwao kuangalia watoto pindi kukitokeza emergency.
   
 10. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna jirani yangu bonge la mtu afu urefu futi sita na,jamaa mbabe mtaa mzima walikuwa wanamuogopa juzi kati mkewe kambamba nyuma ya nyumba yao akilawitiwa na kijana kidogo tu cha mtaani haya mambo siku hizi we acha tu.
   
 11. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  mijanaume ya siku hizi,hasara tupu,ukilala nalo ukiliingiza vidole linarembua,sasa kuna mtu hapo kweli
   
 12. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ukiliona jamaa unaweza apa haiwezekani tena wana watoto wawili.
   
 13. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #13
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  We acha tu; Tuko katika zama nyengine, haumuamini hata mshirika wako. Watu wote waongo!!
   
 14. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #14
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  usiusemee moyo kwani ukubwa wa pua si wingi wa kamasi
   
 15. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #15
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kila mwanaume ni shoga anyway!
  mbona ile sehemu yao senstive kama clitoris iko 'nyuma'...!?!:redfaces:
   
 16. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #16
  Nov 28, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ni kweli prostate gland iko nyuma lakini mwanamke mjuzi anaisisimua kwa kupapasa/kulamba chini ya p**bu.
   
 17. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #17
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hapa kuna utata "loved the blowjob" , iweje demu aseme hivyo bila kuweka alama ya ?, haponaona kama ni dume lina shukuru kwa kupewa BJ, huyo jama ni shoga ,hiyo msg imekaa kidume dume, mademu wachache wanaweza andika maneno mazito hivyo.
   
 18. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #18
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Tutake radhi Dada , kulambwa sehemu nyeti na ukaenjoy haina maana ni ushoga , kama unanilamba sehemu nyeti na na enjoy wakati wewe ni demu (yani jinsia mbili tofauti ) haina maana ni ushoga .Ushoga ni pale unapo lambwa na mtu wa jinsia yako na ukaenjoy. Kifupi, Ushoga ni (Homo meaning same ).
   
 19. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #19
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Ina maana wewe Musinga ni demu koz huwa unawaingizia wanaume kidole hadi wanarembua why do u do that??? kuangalia kama ni Mashoga au la??? hao unaowafanyia huo mchezo huwa wanakubali au hukuramba makofi on-spot ???
   
 20. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #20
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wala sitaki radhi,
  kulambwa haijalishi unalambwa na nani...,
  sehemu iko nyuma,meaning wote mna element za u gay!
  kama unalambwa na mwanamke good!
  ila ukiona mwenzio analambwa na mwanaume ila sehemu pia usishangae!:redfaces::bump:
   
Loading...