Kitambi au kutofanya colon cleansing for men ni hatari kubwa kwa mapenzi

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
15,083
12,423
Wapendwa, wengi wetu wataalamu wa tendo la ndoa humu, leo tuangalie sisi wanaume
tufanye nini ili kuwa na furaha na mashuti ya nguvu, ukiachilia mbali balace diet, mazoezi,
na some wanaume as we said early hasa warefu & not fat, wamejaliwa kuwa na uume wa
size nzuri.
ww kama ni mwanaume wether umejaliwa uume au uko fit in sex, lazima ufanye haya
kuwa more sexy & can increase u r urefu na upana, more sex drive etc
1. Kitambi, hii ni hatari sana, kumbuka mishipa ya damu ndiyo inayo safirisha damu
na kusimamisha uume, sasa wengi wenye kitambi mafuta/fats zinapunguza msukumo
wa damu, unakuta uume umerudi ndani, pia mwanaume anachoka haraka, kwani
moyo unapata taabu sana kupump damu, mishipa imekuwa narrow, oxygen/CO2 exchange
is like a war in ur body during sex, hata sometimes uume unasimaa unapoint down to
gravity, like dysfunction hivi, ondoeni kitambi plse, mm uume wangu ukisimama lazima
uende against Gravity na umetoka forward kama vita, hadi natetemeka, bukta inapata shida,
tayari kwa kumtafuna na kumla mwana nke, mwana ume shughuli bwana.

2. Men must do colon cleansing at least mara moja for 2 months, watu wengi hawajui hii
colon ikiachwa inaficha accumulations za uchafu kibao, ndio maana tunahimizwa kula
sana roughages( mbogamboga) na cereals kwa wingi, ila still hazitoshelezi,
so jaribu kutumia kuosha tumbo lako kwa kutumia dawa za kuharisha, kuosha tumbo na colon, utakuwa hai mno, magonjwa meeeeeengi utaepuka, mishipa/ mirija ya damu kuelekea uumeni itaosheka, damu itapita fresh, na uchafu ktk colon is a big causative agent of constipation, na mwenye constipation, ni hatari, maana itafikiwa wakati damu ita absorb sumu kwani faeces/ kinyesi ni kama kina kwama tumboni, utakuwa unaishiwa nguvu mara kwa mara, colon cleansing hapa TZ unaweza kutumia mitishamba
mbalix2 kuosha tumbo, colon ikiwa chafu ni sawa kabisa na oil chafu ktk gari,then kula balance diet, mazoezi ya wastani, na hutasikia eti unatafuta dawa ya kuongeza nguvu za kiume, ambayo ni jibu la muda mfupi, na haujatatua matatizo. Mzizi mkavu hapa JF alijitahidi kuelezea juujuu kuhusu constipation, mm nimeamua kwenda deep
nakwambia
ukilala na mpenzi wako ukimaliza tu, utaona kalegea, akishtuka utasikia ww ni mwanaume, i luv u kutoka moyoni, Kazi kwenu wanaume
 

Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,559
9,251
Mkuu umeongea point nzuri lakini hukuzipanga kwenye mtitiriko wa mtu kuweza kuufuata, hata hivyo, ukisoma sana unapata neno
 

Yegomasika

JF-Expert Member
Mar 21, 2009
13,170
61,235
2010 Top Rated Colon Cleanse Products


Colon cleansing is becoming an increasingly popular method for people to lose excess weight, get relief from digestive problems, and improve colon health. Because of the obvious benefits that colon cleansing provides, many companies have started producing low-quality colon cleansers that just simply don't work. In fact, 85% of colon cleanse products are just a complete waste of money.
Despite the dozens of low quality products that fail to deliver on promises, there's still a small handful of colon cleansers that deliver results. And at ColonCleanseAdvice.com, we help you make an educated decision by providing you with honest reviews, ratings, and comparisons on the best colon cleansers on the market.
Who Needs A Colon Cleanser?
Some medical professionals suggest that everyone should be cleansing their bodies at least once per year. In our day and age, the processed foods we eat begin to make our bodies feel slugish, weighed down, and not functioning properly. Here is some of the common symptoms of an unhealthy colon:
  • Excess Weight Gain
  • Fatigue and Lack of Energy
  • Feeling Weighed Down After Meals
  • Constipation and Bloating
  • Gas and Intestinal Discomfort
  • Poor Digestion
Which Colon Cleansers Work Best?

Our team of experts have spent the last 24 months reviewing dozens of different colon cleansing products to see which ones lived up to the hype. Since user results is the best way to judge a product, we analyzed a large number of user submitted feedback and online reviews to determine which colon cleansers lived up to expectations.
In addition to user results, our experts have analyzed each colon cleanse on a variety of key factors including quality of ingredients, potential side effects, and price. Below we have provided a side-by-side comparison of the top 10 most popular colon cleanses, and a more in-depth review on the top 3 products that scored the highest.

Top 10 Colon Cleanse Products


RankProduct NameUser RatingPriceReviewsMore Info
1Colothin
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th-02.jpg
Just S&HRead Review 2Bowtrol
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th-03.jpg
;$39.95Read Review 3Blessed Herbs
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th-03.jpg
star-th-03.jpg
$89.50Read Review 4Dr. Natura Colonix
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th-03.jpg
star-th-03.jpg
$88.00Read Review 5Dr Floras
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th-02.jpg
star-th-03.jpg
$157.00Read Review 6Oxy Powder
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th-03.jpg
star-th-03.jpg
$44.95Read Review 7Evercleanse
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th-02.jpg
star-th-03.jpg
star-th-03.jpg
$39.95Read Review 8Dual Action Cleanse
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th-02.jpg
star-th-03.jpg
star-th-03.jpg
$59.90Read Review 9Puranol
star-th.jpg
star-th.jpg
star-th-03.jpg
star-th-03.jpg
star-th-03.jpg
$30.00Read Review
 

Shark's Style

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
299
158
Hebu tujulishe Hizo colon Cleanser za kienyeji ni zipi hizo, Je zinapatikana kwenye mazingira yetu hasa ya mjini? Na je Unatumiaje na kwa muda gani? Briefly explanation pleaz!
 

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,793
5,333
safi Mr president post yako nzuri nadhani wataifanyia kazi ...
Hivi Nyama Choma ba beer kwa wingi zinaletea kitambi eeh?
 

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,648
4,202
Jamani wakuu,

Kwa taarifa yenu 'colon cleansing' ni ya wote...mume na mke...mwenzenu hapa memsap nd'o kanijulisha hii kitu maana yeye alikua anafanya hata kabla hatujawa tugeza. Hapa mimi bado naona mmmhhh!!!...afadhali nikae njaa pasiwe na kitu humo mwenye colon....ama mnaonaje?....Hii nd'o ile "ama zangu, ama zako!"....:bump:
 

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
12,639
17,574
humu inaelekea kuna wahanga wengi sana wa hilo tatizo la kitambi kwa hiyo maelezo ya kina yanahitajika zaidi
 

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,499
76
sometimes uume unasimaa unapoint down to
gravity, like dysfunction hivi, ondoeni kitambi plse, mm uume wangu ukisimama lazima
uende against Gravity na umetoka forward kama vita, hadi natetemeka, bukta inapata shida,
tayari kwa kumtafuna na kumla mwana nke, mwana ume shughuli bwana.
hahahahaha, you r funny, so ur peno goes perpendicular to the gravity? hahaha good one...someone told me his goes 15 degree with the vertical (body axis)!!. I agree 'mwanaume shughuri mkuu'
 

Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,264
190
hahahahaha, you r funny, so ur peno goes perpendicular to the gravity? hahaha good one...someone told me his goes 15 degree with the vertical (body axis)!!. I agree 'mwanaume shughuri mkuu'

jamni kitambi noma bwana asikwambie mtu, ila hata wanawake hasas Arusha na Moshi wanavitambi balaa cjui nao wanaathirika katika gemeu hebu tuelezeni kidogo hapa
 

lukenza

Senior Member
Apr 11, 2010
120
8
dawa ya colony cleasing
Nenda kwenye Duka lolote hapa Bongo ulizia
Bisacodily tablet
Dose yake ni 2 mara moja hasa wakati wa usiku .Inapendekezwa usiku kwa sababu unaweza kuharisha kwa muda fulani kwa sababu usiku unakuwa home umetulia kunakuwa hakuna interruption ya activity zingine siyo kama ungekuwa umeumia mchana wakati huo unatakiwa upande daladala uende KKoo
 

Optimistic Soul

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
204
21
Jamani kuna mti unaitwa mfurufuru, majani yake ukitengeneza juice yake ni colon cleanser tosha, utaharisha kila kitu, kufunga kuharisha kule kwetu twanywa mbege au uji, waweza kunywa mtindi pia then unafunga kuhara.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom