Kibuti hiki ni balaa

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!
 
AAfu ukute ndo kimerushwa Fesibuku.............................patamu hapo!:biggrin1::biggrin1:
 
mayenga vp tena?kumekucha?
pole sana tena sana bt si msiba uo na wala si mwsho wa dunia
simama imara siyo issue utampata mwngne labda mungu kakuepushia jambo baya u never knw au angekupotezea muda zaid the early the better.....
wapo weeeeeeng sana utampata mmoja mzzuuuur bt be calm usikurupuke usje ukakutana na mapakawatu wakakuumiza zaid...
pole sana!!!!
asi una phonebook apo?ebu chek chek wale reserve wale walokuwa wanakusumbua..akupe kampan bt km umfil usmpe uwaziri mkuu just awe wa mastor n ol staff...!!!!!!
umekunywa chai?njoo tunywe chai mwaya na viazi vtamu vya kukaanga najua apo ata msos aushuk....B STRONG.
 
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!

pole sana......imekuwaje?
 
Mambo Rose.....nimependa hereni zako
 
tunaomba maelezo ya ziada, huyo shemeji mmekaa nae muda gani?, sababu ya kukupiga kibuti? je abambelezeki?
 
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!

Usijali huyo kapata mwengine kakudharau
 
Pole sana Mayenga hayo yote ni mapito ya maisha ..utasahau na utaendelea na maisha yako.
Mungu akutie nguvu na ujasili huo si mwisho wa maisha yako
 
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!

Pole sana dogo!ya kawaida sana hayo, mwanaume haujakomaabado kama haujakutana na vibuti na kushika pembe kwa sana tu!kaza buti na ugangamae......................maisha yanasonga
 
tengo miedo..no probrema..i wl send t via msg wory nt!!!
mi naupendaga mgongo wako manake mi wangu upo km wa kenge nakwambia!!!!!

we rose umenichekesha mpaka basi, yaani humu JF watu mna vituko balaa. Karibu upate black coffee basi
 
haaa babu wewe kucheka afya we cheka tu mpk meno yadondoke!!!!!!!
ukweli ndo uo mgongo wangu km wa kenge!!!!1
ahh mi nimeagza kahawa apa ya kawaida tu si hiyo blak coffee na viaz kdg basi ..m nt flng wel today sju niaje!!!!!!
 
Pole mwaya endelea kutembelea hum jf utapata nafuu maana humu kuna kila kitu madaktari, wakunga nk. Hii black coffee mbona ni hii ya kawaida tu mwaya manjonjo tu c unajua tena. alf unanitamanisha na hivy viaz lol
 
Tufanyaje sasa?nkutumie kwa blututh?viazi vitamuuuuuu mbwiga usipime leo kiporo nimekipumzisha keshooooooooooooooooooo kunako kiporo km kawa!!!
nyie uko asi udhunguni ..mablak coffee mchana mapiza sjui mahambagi haaaaaa aya bwana kulen mema ya nchi tu shetan yu mbion aja!!!!!!
 
pooole mayenga...ila its too soon to conclude eeh?.ucjali we are here 4 you mwayego:grouphug:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom