Suruali, Skintight, kyupi, vyote vya nini?

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
1,195
Jamani punguzeni mavazi kina mama. Mnavaa utafikiri mnaenda vitani? Vaeni kama mchumba wangu Cheusimangala.
 
cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
0
aaaggh si nilisema mapenzi yetu tusiyalete hadharani kwanza,sasa mbona wewe unamwaga kuku ktk mchele wengi.
 
Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
1,195
ye anavaaje?

avatar21903_4.gif
 
Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
1,195
tuvaeje sasa?
chup2 na tai na kokonko?

Vaeni kama mama zetu wa zamani. Mfano mzuri, vaeni kama Wamasai. Red ya nini? Ndio maana mnapata kansa za kila aina. Dr. Ndodi anayoongea mnaona mzaha? Upepo ukipuliza ni dawa pia. Nipigie simu nikuelekeze.
 
cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
0
Vaeni kama mama zetu wa zamani. Mfano mzuri, vaeni kama Wamasai. Red ya nini? Ndio maana mnapata kansa za kila aina. Dr. Ndodi anayoongea mnaona mzaha? Upepo ukipuliza ni dawa pia. Nipigie simu nikuelekeze.

kwa hiyo ukinioa nitaliaga'kufuli' kama nitakavyowaaga ndugu zangu.mweeh na upepo wa dar unavyopuliza kwa kasi.
 
Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
1,195
Waelekea wapenda za fastafasta kama za ngoma za kabila flani...

Si hivyo best wangu. Nawashauri kwa sababu za kiafya. Soma kitabu cha 'Mahali Pasipo na Daktari'. Jiulize ni kwa nini mama wa Kimasai si wengi wanapatwa na kansa ya kizazi.
 
cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
0
Si hivyo best wangu. Nawashauri kwa sababu za kiafya. Soma kitabu cha 'Mahali Pasipo na Daktari'. Jiulize ni kwa nini mama wa Kimasai si wengi wanapatwa na kansa ya kizazi.

ila ni kweli honey,hasa vile vi gstring,sio vizuri kabisa,bora hata makufuli makubwa lkn ndo hivyo watu wanataka kwenda na wakati.
 
Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,387
2,000
eeeh mi hata chupi huwa sivai napata full kipupwe so msinihesabie kwenye hiyo post mtakua mnanionea
 
Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,687
0
wasipovaa manguo ming ya kujiziba zba neno..wakivaaa vnguo vya leta upepo nalop neno....ahh ja,man...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom