Man Sues His Neighbor For Failure To Impregnate His Wife | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Man Sues His Neighbor For Failure To Impregnate His Wife

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtazamaji, Nov 28, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Paid to do it, but fails to make his friend's wife pregnant after 72
  Attempts

  A nice story, with surprising end:

  Jambo limezua jambo. Ungekuwa hakimu Hukumu yako ingekuwaje ?
   
 2. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  wajinga ndiyo waliwao
   
 3. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ngoja nikapate vyombo kwa pale Kirima bar.... labda nitalichakachua vema hili!!
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mambo mengine hayana kichwa wala miguu...
   
 5. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama namuona huyo mke mwenye watoto wasio wa mumewe,alivyoshikwa na kihoro baada ya kusikia hilo deal...hahahah
   
 6. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #6
  Nov 28, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli wanaume tuna wakati mgumu sana. Maana siku zote huwa tunaamini kwamba tunalea watoto wetu kumbe ni wa majirani zetu. Kweli mjukuu wa kweli ni wa kwa mtoto wa kike. Sasa hivi nampango wa kwenda kupima DNA watoto wangu wote, ili nijue kabisa nalea wa kwangu au wa rafiki yangu. Hebu nipeni uzoefu wa kwenda kupima DNA jamani.
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu sasa msingi wa Penzi si imani. na imani kuwa wewe na mwenzako wote mko faithfull.Sasa ikifikia kupima DNA penzi si llinakuwa limeshamongonyoka

  Hii true story ina maana jaamaa asingepata dili ya jirani asingejua . Unaweza kukuta hata hao watoto wangeoa au kuolewa na dada au kaka zao wa damu.
   
 8. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  mnh ukishafanya hio DNA test,halafu ndio itakuwaje??
  una uhakika na wewe huyo unayemuita baba ni baba yako mzazi..au na yeye utataka ukafanye DNA test...?
  lea,kama sio wa kwako wewe sio wa kwanza kulea watoto wasio wako..LOL:redfaces::party:
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Nov 28, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  du hii imenichosha.
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hapo lazima uchoke najaribu kuftilia nione hakimu alitoa uamuzi gani ?
   
 11. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Duh, inaonekana wewe tayari ushambambikia mtu mtoto huko!! Ha ha ha mbona unatetea utaratibu wa kulea watoto wasio wetu? Kama aliyenilea hakuwa babangu basi bahati yake ila hawa wa kwangu lazima niprove kabla sijaendelea kuingia gharama zaidi. Maana ukija ambawa si wako wakati ushamaliza kusomesha nadhani unaweza kufa ghafla. Bora ujue tangu bado wadogo.
   
 12. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kwani unapoenda kupima lazima umwambie mwanzako? Si unachukua tu mtoto unakwenda naye hospitali? Hizi imani zetu zinazozidi mipaka kwa wale tunaowapenda, zinafika mahali zinakuwa mzigo kwetu. Just imagine huyo jamaa alikuwa katika hali gani baada ya kujua hilo? Hapo ndo watu wanapotezaga maisha hivhivi! Bora ujue kabisa tangu mapema kwamba unalelea wenzako.
   
 13. M

  Mkubwa Dawa Member

  #13
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 13, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ni kweli umenipa wazo ntaenda kufanya DNA test ili nijue kama kweli namuita baba mtu ambaye ni baba yangu mzazi isije ikawa kalagha bhao.
   
 14. M

  Munghiki Senior Member

  #14
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 153
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama unaisi kwamba mke ni kicheche unafikiri utafanyaje?nafikiri hii procedure ya kupima DNA test ingerahisishwa!
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!!! Nimechoka
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  Watoto wa jamaa wamechakachuliwa
   
 17. F

  Ferds JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  hapo ndio ujue kuwa ktk fani zilizopo duniani basi ukiwa mwanasheria lazima uwe na akili timamu
   
Loading...