Je mwanaume mwenye tabia hizi anafaa kua mume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je mwanaume mwenye tabia hizi anafaa kua mume?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mamushka, Nov 18, 2010.

 1. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana JF, Napenda kuomba msaada wenu wa mawazo ili na mimi nipate ushauri wenye hekima. Nina rafikiangu alipata mchumba wakati yule kaka anamuomba dada huyo awe mchumba wake mungu akijalia wawe mke na mume dada alikataa akawa haamini kama nikweli, lakini baada ya huyo kaka kumfwatilia kwa muda mrefu dada akaona the guy was serious akakubali then akamuomba wakapime kaka akakubali wakakutwa salama.

  mahusiano yameanza mpaka ndugu pandezote mbili wakajua imebaki wazazi kutambulishwa, shida inakuja huyo kaka anaongea sana kupita kiasi yani wakikaa sehem yeye ndo aongee kupingwa hataki, chochote atakachokiona au kufanya lazima aseme, akinunua zawadi ya mchumba wake lazima rafiki wa dada huyo na wa kaka huyo watajua,

  kunawakati dada huyo aliumwa sana tumbo huyo kaka akamwambia ntakuijia home nikupele hosptl, dada alivopona anakutana na rafiki zake kaka huyo wanampa pole na kumwambia jamaa alitwambia uliumwa na ametumia pesa nyingi sana kukutibisha wakati haikua kweli, dada akanyamaza, akimtoa kwa dinner or lunch lazima dada huyo ataambiwa flani alisema juzu mlikua sehem kwa dinner huezi pata mwanaume anakupa good time hivo, anasahau kunamuda hakua vizuri dada huyo alimsaidia sana bila kulalamika pamoja nakua mwanaume anaumri mkubwa kuzidi msichana,

  akipata pesanyingi dada anamshauri nunua hata kiwanja jenga punguza kula life anamgombeza anamwambia mi ni msomi sana najua ninacho kifanya kwanza nipe muda ninamambo mengi, anapotea haonekani dada akaamua kuchukua makosa yeye na kumuomba msamaha ili tu abadilike ache kuongea kila kitu pia wapendane na wafanye maendeleo yao kwaajili ya future zao akasema sawa pia ntajirekebisha, baada ya siku dada anataniwa na rafiki wake na wamskaji nasikia ulimlilia jamaa unamuomba msamaha ili mpendane hiyo ika m put down sana huyo dada, na nimsichana anaejiheshi sana na anahofu ya mungu, kaka kaona mambo si mazuri na dada hana mpango tena au kapata matatizo anarudi kuomba msamaha

  sasa dada huyo kanishirikisha ni mshauri amtimue? Au amvumilie? Anauliza mtu wa hivyo anaweza kuwa mume mwema? Au nikukaribisha maumivu aibu na umaskini kuishi bila maendeleo, mimi nilimwambia aamuombe mungu ampe huyo kaka mtu mwingine ili yeye apewe na mungu mume mwema anaemstahili huyo hamfai na hawezi acha mdomo.wenye mawazo yenye kueleweka nisaidieni tumsaidie kijana mwenzetu jamani.
   
 2. RR

  RR JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Punctiantion Mamushka, pz!
   
 3. F

  Ferds JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  jamani kila m2 anatabia yake japo zingine zinakera kamaya huyo jamaa, ila huyo dada acmwache, aone kuwa Mungu amempeleka pale ili amrekebishe huyo njemba aendelee kumuomba Mungu ili jamaa ajirekebishe
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  a style za usiku pia anazianika?
   
 5. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  cjui kama Mamushka nimekupata vizuri, kwamba ishu ya huyu kaka ni macfa,hana la kuongea zaidi kujicfia...cjui kama nimekuelewa.
   
 6. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,951
  Trophy Points: 280
  mbona sioni tatizo la huyo jamaa..he is just a big mouth buddy.. mie nilizani ana-mademu kumi kila siku anamfumania halali nyumbani..hiyo kuongea na kujisifia ni kipaji cha mtu wake... na ashukuru jamaa muongeaji...wapo wengine hawaongei kimya-kimya ila actions zao mpaka unajuta kumfaahamu....

  kingine nahisi jamaa anamzimia sana huyo demu kiasi kila kitu anachomfanyia lazma awa-ringishie washkaji zake.... mwambie hoyo shosti wako silaha pekee ya ku-mcontroll huyo mbwiga wake ni ku-mpimia penzi na kumpa-ushirikiano wa kupima..akiropoka tu kwa watu jana tulifanya 1,2,3 ...penzi wiki nzima hakuna penzi wala maluv-davi akajitafutie wa bei nafuu kona baa....

  kingine nahisi huyo jamaa "umri mdogo" unamsumbua.... na may b ni aina ya makabila yetu haya-anshomile mpaka fomu fooo... wanaji-proud vibaya sanaaa...amwelewe tuu.
   
 7. F

  Ferds JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huu ni mtambowa kurekebisha tabia , nimekukubali
   
 8. A

  Ashangedere Senior Member

  #8
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa haraka haraka huyo jamaa anapenda sifa, so mshauri rafiki yako atumie hiyo weakness yake, amsifie saaaana: kwa mfano Mmh yani wewe mpenzi wangu me nakuaminia ile mbaya najua safari hii lazima ununue kiwanja jinsi unavyopenda maendeleo yani kwa hilo sina wasiwasi, hopo ni instead ya kumwambia nunua kiwanja. Kuhusu hayo masifa yake amwambie kuna mtu kaniambia eti wewe ulikuwa unaongea .... kuhusu mimi au kuhusu maisha yetu, nimemtimua nimemwambia mimi mpenzi wangu hana hizi tabia za kujionyesha unyesha mbele za watu mambo yetu tunayajua wenye... nakwambia akiwa anamsifia badala ya kumpa fact anaweza kushangaa jinsi atakavyobadilika pia tatizo jingine la huyo jamaa ni insecurity, hajiamini
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  ashangedere nimeipenda hii
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa hadi hizi habari anaweza akazianika. Cha kufanya kama walivyosema wengine, asimuache ajitahidi kuongea nae na amweleze si vizuri kuanika mambo yao nje kwa watu wasiohusika! Kama jamaa ni muelewa atabadilika!
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nimekukubali!!!!
   
 12. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  jamaa dully sykes.....wa hivyo kuacha mmh!
   
 13. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nyamayao kwa kiasi flani umenielewa masifa kwakweli anayo hata mi nimeshamshuhudia maranyingi sana mkiwa kikundi mmekaa ataongea pia lazima aseme mi msomi bwana, inabore.
   
 14. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hana umri mdogo amemzidi msichana wake kwa miaka kama 9 hivi na dada huyo alidhani kapata mtu mzima atake tulia, but mara amuone kwa blogs za watu anakula raha akimwambia anasema ooh sirudii, kesho anarudia.
   
 15. Engineer2

  Engineer2 Senior Member

  #15
  Nov 18, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huju jamaa ni ni shomile?
   
 16. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Dada,

  Wanaochangia sana kuharibu mapenzi ya wapendanao ni watu wa nje. Chunga sana unapomshauri mwenzio kuhusu masuala ya mapenzi usiweke msimamo wako, jaribu ku-touch angles mbalimbali na mwisho wa siku mwache mwenyewe afanye maamuzi ya kunyoa au kusuka. Utakuja kuumbuka pale umemshauri aachane na huyo Domo Kaya wake then unawakuta wote pamoja wanafurahia malavi dave yao, siku hiyo utatamani ardhi ipasuke uingie wasikuone.

  Ushauri wangu ni huu:
  Kugundua source ya tatizo ni mwanzo mzuri wa kupata jawabu, sishauri akimbilie kwenye kuachana na jamaa kwani hizo tabia zinarekebishika. Kwa vile DomoKaya Wake amegundulika ni mtu wa kupenda misifa, basi mwana mama nae inatakiwa ampe complements za kutosha. Ikiwezekana amsifie vitu vya kijinga mpaka jamaa ajistukie kwamba mmmmh hapa kuna jambo mbona binti kabadilika.......taratibu jamaa ataanza kujirudi.
  Anaweza pia kutumia marafiki wa huyo huyo mwanaume ( wenye busara lakini) kwa kuwauliza maswali kama vile; hivi ninyi mnaona rafiki yenu anafanya jambo jema kwa ku-expose mambo yetu ya ndani??? au Mbona jamaa huwa haji kunihadithia mambo mliyowafanyia wapenzi wenu?? yaani msg itamfikia tu huyo DomoKaya.

  Asanteni!
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  sasa uyo bnt amnasubiri nin?
  masifa wanaboa bora ata ukae na m,anyigu ndan yakuume utapona lakin masifa boy dah ...mbaya sana
  ajiandae kutolewa habar za ktandan pia uenda ashazmwaga sema ao marafiki tu wanamwonea aibu kumwambia
  --wakioana apoa ajiandae ata akiacha ela ya matembele home ataenda kutangaza ma wife daily anakula baga za steers...AMKIMBIZE--
  --no one z pafect lakin uyo mhh mtu si makosa aliyonayo ni manyanyaso zaid alyonayo
  --afu hana heshma wala utu ..kitu cah hsptali nacho mpk ukatangaze....sasa nini maana ya bf?????ata km ni rafiki wa kawaida tu akikusaidia akatangaza utajiskiaje?????
  AMKIMBZE
   
 18. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hua hasemi ila hua anasema dada ni balaa nampenda sana.
   
 19. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,654
  Likes Received: 1,439
  Trophy Points: 280

  ha ha ha ha ha ha ha kwamba hata hizi habari atazianika lol
  katavi has just made my day!
   
 20. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,654
  Likes Received: 1,439
  Trophy Points: 280

  looh rose hapo umechukua hatua kali mno, huyo inawezekana ni utoto tu akikua atatulia huyo amvumilie tu
   
Loading...