nilikuwa napita tu jamani..........
Unasubiri nini mpaka uwe mpita njia tu? Fanya fasta fasta....kuna zile za Askofu Kakobe alizokuwa anafungisha za papo kwa papo, kama ikibidi.
Mimi kwa upande wangu ina sababu kubwa kulingana na kiapo nilichopewa wakati navalishwa.Nakinukuu;Baada ya kuoa na nakuvalishwa pete ya ndoa je nikiivua hiyo pete kuna kosa??kuwa nayo nakutokuwa nayo kidoleni ina sababu??
mie nimenenepa hadi vidole, so inanibana sana, nimeivua
Matarese umesema neno na hakuna waliposema ndoa nikuvalishana pete na lazima ulekiapo!!zamani walikuwa wanaopoa mzigo unatambaa zako hata mke wamtu ilikuwa ruksa!!maana kwenye vitabu wamesema eti fulani akamuoa mke wa batromeo akazaa naye watoto 6na ukoo wa benezet kwahiyo unaona zamani kulikuwa na umafya!
cha kushangaza tunapishana nao guest house na mipete yenuu:bump::bump:
kama ni kweli basi hii ndiyo itakuwa sababu yangu no 1....Ni mambo tu ya kibinadamu, hayana umuhimu/ulazima wowote, wala hakuna sehemu yoyote kwenye Bible walipoandika waliooana wavae/lazima wavae pete.
Na wewe guest huwa unafata nini? lolcha kushangaza tunapishana nao guest house na mipete yenuu:bump::bump: