Play Cool to get and not hard to get......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Play Cool to get and not hard to get.........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Nov 28, 2010.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wapendwa ndugu, jamaa na marafiki......natumaini weekend kwenu ilikuwa njema kama kwangu. tumshukuru MUNGU kwa hili.

  Wakati nikiwa nimekaa kwangu nikiimalizia weekend hii ya mwisho wa mwezi wa november, 2010 nimejikuta nawaza mahusiano na vituko vyake. Sijui kama ni sahihi but inaweza kusaidia kujenga mahusiano ya kudumu kwa yule umpendaye......... nawaza.
  1. kwa wanawake walio na ndoa/ stable relationship- dont be a nagging woman
  Tunaelewa kuwa (according to Babu Asprin) wanaume hawajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja (thats you) so expect the unexpected. Ikiwa utahisi/ utajua kuwa mwenzio si mwaminifu: There is no need of panicking............just relax and swallow your bitter pill slowly with a smile...... no matter how bitter it is. Dont show him that you have panicked kwa sababu ukimwonyesha umepanick utampa kichwa na kumfanya aamini kuwa huna confidence. Relax
  Dont ask him a direct question- usimwulize unatoka na nani? why have you changed, ushatoka nje ya ndoa e.t.c. maswali ya hivi yanamfanya aamini kuwa unafanya GUESS work huna unalolijua hence giving him more chance na nguvu ya kuendelea na akifanyacho. ......it doesnt matter whether its true or not we mwonyeshe kuwa unajua anachokifanya (hata kama hafanyi kitu - which is not obvious- ni mtu wako akibadilika utajua tu) mwambie straight kuwa you know what he is doing all you need from him ni USALAMA- Atake care in what ever he is doing.....tena ikiwezekana jenga tabia ya kumkinga (mwekee condoms ndani ya briefcase kila akisafiri au kwenye mfuko wa shati kila akienda kazini asubuhi). The logic behind is
  1. Kama anafanya, basi atabaki anajiuliza umejuaje and to what extent do you know.
  2. Kama hafanyi basi atajua unamjali na uko makini.

  ii. Love him more with all your heart but remember to take your brain with you.

  THIS IS WHAT I BELIEVE WORKS FOR WOMEN ( NOT NECESSARILY SHOULD IT BE TRUE)
  Sijui kwa wanaume..........should we, women be treated the same??
  Have a nice weekend
   
 2. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hio ya kumuwekea condoms ni ngumu MJI.....:bump::bump:
  ni kama unahalalisha vile afanyacho...
  unampa mixed message uko happy na afanyayo...
  in reality,hauko hivyo...

  mie kwangu itakuwa ngumu kufanya hivi...:embarrassed:
   
 3. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Waaw... i could give u a Kiss ila naogopa manundu..:whoo::whoo:
  Namiini mwanamke wa aina hiyo.... haachiki hata kama yeye ndo ataondoka.. jamaaa litamfata hata kwa kifaru!!
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Muwekewe care condoms (condom za kike) hehehe
  :painkiller::painkiller::painkiller::painkiller:
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kwa kweli hata maandiko yanasema 'mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake mwenyewe'.........huu ni ushauri mzuri sana..........thanx
   
 6. T

  Tunga Member

  #6
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumuwekea condom haisaidii zaidi utamwongezea kasi ya kufanya hivyo................
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kila kitu nakubaliana na we kabisa ....
  kasoro hapo tu yakumpa condom........
   
 8. F

  Ferds JF-Expert Member

  #8
  Nov 28, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
   
 9. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #9
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,075
  Likes Received: 4,658
  Trophy Points: 280
  Uko sahhihi, nice advice, mwnamke kama ww mwanume hatakuacha takuwa akikuona kama amekuoa atakuwa na aibu sana
  ila ukijua anatoka na mwanamke mwingine usiogope kumwuliza, usisubiri akuambukize ukimwi kisa ukimya, if it reaches to extent
  xxxxxxxx hovyo kama kuku, una haki na wajibu wa kumlinda mme wako acha habari zingine, kama hatulii mwache plse, pia hili la kumwekea condom utavunja ndoa dada yangu
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...nilivyomuelewa MwanajamiiOne ni kwamba, kila mtu anahitaji na kustahiki ---space--- maishani.
  Mambo ya kuchunguzana na kukabana kama mpira wa kona yamepitwa na wakati.
  sana sana ni kujitafutia kuyafumua magonjwa ya BP, kisukari na stroke buree...

  "Kunguru hafugiki!"
   
 11. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,075
  Likes Received: 4,658
  Trophy Points: 280
   
 12. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo palipokoza wekundu... kina kaka mpo?
  Mbu,
  Hicho kilichosemwa in red je ni mtambuka/ cross-cutting kwa wote wanawake na wanaume?
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mjukuu nimefikiria sana je kwa upande wa mwanaume kama mwanamke ndio anafanya hivi it will be very difficult to swallow though unaweza ukasamehe lakini if it goes sidhani kama unaweza kuendelea ku-handle that situation, kwa mwanamke kuwa hivyo kama ulivyoainisha hapo juu yawezekana lakini akikutana na kidume ambaye ni mcharuko basi atakuwa anaumia sana kuna baadhi ya vitu unabidi uchukue maamuzi magumu ikifika mahali amabapo unaona kwamba enough is enough.

  Halafu mjukuu hiyo signature yako bana umenifurahisha sana
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Inategemea ni space ya nini, sio kila space unayompa mwenzi wako anaitumia kama inavyotakiwa
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Asante sana MJ1 kwa post nzuri sana ..
  Ila nikirudi kwenye swala zima la kumuwekea condoms kwenye briefcase inakuwa ngumu sana
  eeh mama hawa wanaume ni kama watoto wadogo na mtoto anajifunza kupitia kwa mama /baba yake
  anaweza kufanya kweli kwani anaamini haya mamabo ya Infidelity kwa upande wao ni sahihi .
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wow... hii mada kwangu imekaa kimtindo aisee

  Mie mama akiniwekea kondom ataikuta hivyo hata miaka mia... using the condom uliyopewa nyumbani inahalisha na kurasimisha upigaji LOL. MJ1, i appreciate your point of view ...cha maana ni kutulia na kumuweka jamaa kwenye situation nzuri, romantic and very sensitive kisha unaanza kumpa ishara kwamba unajua afanyacho bila kuwa muwazi zaidi


  kasheshe ni pale ukiwa na vuvuzela, hizo zite hazifuatwi, QUESTION: JE SISI WANAUME TUKO TAYARI KUHISI NA KUKAA KIMYA?
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Cousin nashukuru sana kwa kurejea swali ambalo na mimi niliuliza kama wanaume tuko tayari kuhisi na kukaa kimya ingawa naona ni ishu ngumu, by the way vespa umeishazileta lol!!!
   
 18. RR

  RR JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  FL1 hujambo....
  Hawezi kuwa mpumbavu hadi atumia kondom ulizomweka....believe me utazikuta ulivyozoweka...sihu ni ujumbe aupatao...
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ukweli ni kwamba tunaweza, ila inabidi tununue punching bags na mapanga na mafyekeo ili presha ikizidi unajipa kazi ya bustani au gym... ZILE VESPA ZIPO TAYARI NA CHALE MNENE KESHACUKUA MOJA, BADO WEWE
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  :lol::lol::lol::lol::tea::tea: mfikishie salamu zangu Kanyagio na Dr
   
Loading...