Kweli
Reaction score
24

Profile posts Latest activity Postings About

 • shukurani kaka , kama mtanzania sasa nashindwa kuvumilia kuona watu wakiteseka na kufa kwa sababu hawana mtetezi au mtu wa kufufikisha habari kwa watu wanaweza kumsadia,
  Tanzania tunaweza kuibadilisha wenyewe na kuifanya sehemu bora ya kuishi dunia, ni wakati kaka tushikamane na kusema hapa kwenye upuuzi wa aina yoyote ile .
  lakini pia na kupeana misaada muhimu iliyo chini ya uwezo wetu.
  ubarikiwe pia mkuu
  shukurani
  Nimepunguza bei ya salamu yangu aisee...bei sawa na bure so ukijiskia njoo uchukue!
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top