Konakali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 1,533
- 266
Nimekuwa kila nikihudhuria sherehe mbalimbali kama harusi, sent-off na occasions zingine nawaona baadhi ya wanandoa wanakuja na watoto wachanga (kama miezi 3, 6 10).....! Wanakaa hadi saa sita - nane usiku...! Sasa nimekuwa najiuliza je, hawa watoto wanatendewa haki kweli na wazazi wao? Binafsi tabia hii inanikera, inaniudhi na kunikatisha tamaa kuwa watu wanazaa bila kuwa tayari kulea .....! Nawaombeni nyote humu JF tufikishe ujumbe huu kwa wahusika....!