Mshikaji! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshikaji!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kachumbari, Nov 29, 2010.

 1. k

  kachumbari Senior Member

  #1
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nahitaji binti,umri miaka 40 - 45,alieachika au ambae hajaolewa,awe anajitegemea.hana UKIMWI Wala GONJWA LOLOTE LA KUAMBUKIZA,asiwe sex maniac(sijui kwa kiswahili nisemeje),asiwe mlevi wa chochote.kama unajiona una sifa hizo hapo juu ni PM.
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unahitaji binti wa 40-45 ? hapo sema unahitaji jimama lakukulea a.k.a sugarmummy.
   
 3. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila la kheri...
   
 4. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  We kachumbari unataka kulelewa hapa mjini ? usilemae hivyo mtoto wa kiume mwishowe atatokea jibaba akulee. :A S thumbs_down:
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  yaani 40-45 unamuita binti? basi utakuwa mtu mzima kweli kweli!
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  haya majimama yana siri gani....hebu tujuzeni jamani....kila siku jimama latafutwa humu.......kulikoni
   
 7. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  heheh hicho kipengele cha asiwe sex maniac kimenichekesha kweli,
  wanaume wote wanaombea wapate mwanamke wa hivi..wewe naona unaombea hali iwe tofauti..
  something is wrong somewhere...
   
 8. Fab

  Fab JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2010
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 763
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yanajua kuleeeeeeeeeeea!lLOL:redfaces:
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Preta hebu angalia kipindi cha XL-live channel ten ndio utajua wadogo zetu wameharibikiwa kuna zile live msg zinapita chini ya screen kila baada ya dakika kuna kijana anatuma namba ya simu anahitaji jimama la kumlea na liwe na hela.
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  that age????? im out for good......lol:party:
   
 11. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kachumbari anatka jibibi!!!!khaa eti kibinti cha 40 to45 bado ni bint huyo jamani???
   
 12. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kwa sharti zako...nna mashaka... Na uwajibikaji wako katika kutimiza 'ze nidful'
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #13
  Nov 30, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Miaka ninayo lakini sijaachika
   
 14. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2010
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Kama unafuatilia vizuri sex attitudes za wamama na umri wao, 40+ ni sex maniac kwa lugha nyingine. Wanapenda mchezo na ndio huwa kumekucha. Waulize wenzako watakwambia. Ukishindwa game wanatafuta Serengeti Boys. Ndio maana yake 40+. Sasa ama urudi nyuma kidogo umri ama zaidi kuanzia 55+. Haya! Kumekucha na haya nayo!
   
 15. F

  Ferds JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  ataka jibibi hasa huyu
   
 16. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndo naona ata mie loh,,,,
   
 17. k

  kachumbari Senior Member

  #17
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  @ Fab,
  nahitaji wa kuchangamsha changamsha DAMU tuu!,hata ikiwa mara 1 kwa wiki lakini kiu yake na yangu inakatika.
   
 18. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  ya moto!
   
 19. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #19
  Nov 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  40-45 sio ji bibi bana.....ukute kajiweka poa.....we!
   
 20. k

  kachumbari Senior Member

  #20
  Nov 30, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Waambie hao....! tatizo wao ni vibinti hata service lazima complain, sasa shida juu ya nini? wakati wapo watu wanatoa huduma super bila ooh sijui nimepitiliza siku zangu? kwa hivi vijibinti vya miaka 40+ huwezi sikia hilooo!.
   
Loading...