KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,639
- 8,733
Unajua unapokuwa kwenye mahusiano mapya nimengi hutokea namengine huwa niyakuudhi hivyo ujikuta unakaa kimya ili usije ukamudhi mwenza wako katika hili pendo jipya!!
Sasa basi ukiona unampenzi mpya umeenda naye out haza katika hizi baa zetu za mjini hapa Dar hata kwingine au hata CALABASH!ukaona kila machinga anapita anataka kununu kila kitu fahamu kwamba huyo mpenzi wako ana walakini kama niwakike ananua mara rangi wanja,brasia,hereni,Huyo siyo kamua anza!!Na kama wakiume unaona mara anataka soksi,mkanda,Tochi,vest mwache kunywa bia mpige karenda tawanyika iwe byebye!!Mtu makini hawezi kununua vitu baa!!!Lazima huwe na programe ya kufanya shopping ya mahitaji yako!!ainkiller: