Kutokana na utaratibu wa kule kwenye makambi ya jesh marekani,wale jamaa wanaotoa tigo wana utambulisho wao na utambulisho huo ni hereni masikioni,je kama na wewe unaweka hereni masikioni...
Tayari kuna mchakato umeanza wa kuanzisha taasisi rasmi ya gay, lesbian, transgender Tanzanians ili kutetea maslahi yao na kutoka katika maficho yao. Mchakato umefikia mbali na wakati wowote...
Wapwaz na Binamuz wote.
Ni matumaini yangu kuwa wote mko salama.Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wale wote kwa namna moja ama nyingine mmeshiriki kufanikisha uchaguzi wa mwaka hu popote...
Wengi huhofu kurudiana na wapenzi wao wa zamani kwa madai ya kuwa atakuwa amemtegea kitu kibaya au marejesho ya majeshi haya hayana nia nzuri ila kuja kumkomoa............lakini mara nyingi...
Mwanaume unapokuwa na mpenzi wako out hivi
au popote pale.halafu vinapita" vifaa vya kufa mtu" i mean
wanawake wengine wenye urembo na mvuto...
halafu wewe mwanaume ukawa unatazama...
Habarini wapendwa, ni masiku tele yamepita bila kuonana/kusalimiana!habari lenu bana!
Nimerudi tena jamvini!Nilikuwa kwenye mafunzo ya jando, kule kwetu kwenye sato wengi!
Tuendeleze soga kama...
Nimekuwa na tabia ya kufanya punyeto na ni kwa muda mrefu kiasi kwamba hata nahisi kupungukiwa na nguvu za kiume!! Hivi kuna tiba gani mana ninapokutana na mwanamke kileleni ni dakika 2 tu. Lakini...
Dearest................................................,
I am very happy to inform you that I have fallen in love with you since Tuesday, the 4th of November 2010 With reference to the meeting...
Nina mdogo wangu wa kiume.
Nimemsomesha mpaka IV, sasa mkorofi, nilikuwa naishi naye dar nikimsema afanye shughuli za ndani au atafute kibarua anaona upuuzi nilimtimua akakimbilia kwa ndugu...
weekend nilikuwa na mazungumzo na dada mmoja ambaye ni rafiki yangu kwakweli amekuwa akinisikitisha jambo moja kila napomuona ana mahusiano mapya sasa mpaka ananichosha ikabidi nimuulize kulikoni...
Wadau habarini ya majukum ya hapa na pale, jamani nimekuwa nikipatwa na wivu sana nikiona rafiki zangu wakiwa na watoto wao mapacha, hivi kuna njia yeyote ya kuweza kupata watoto mapacha au ni...
Jamani wana JF hasa katika safu hii, sasa niombe tu utaalamu wenu kuhusu yepi ya msingi sana katika kufanya ndoa iwe imara daima.
maana kuna yale ya chumbani, mitoko, mishiko na mavazi. sasa je ni...
Asalaam aleikum, bwana asifiwe, tumsifu yesu kristo, kristo, mambo vipi wanaJF natumai mmeamka salama. Jana nimekutana na mkasa kwani huku nilipo kuna sehemu inaitwa uwanja wa fisi akaja nsichana...
Jamani duniani kuna mambo
Kuna wanaume/wanawake wenyewe ni viraka vya mapenzi
Penzi na mwenzio likitoboka tu na usipo wahi kuliziba tayari kiraka anatia timu na kuziba
Tatizo rangi ya kiraka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.