rafiki yangu ananunua beseni zima la ndizi.

queenkami

queenkami

JF-Expert Member
1,346
1,225
WAPWA NA MABINAMU nina rafiki yangu ambaye huwa ananunua beseni zima la ndizi la dada mmoja hivi anayetembeza ndizi akisha nunua huyu dada anakaa kwake mpaka jioni anamchakachukua mpaka jioni. hivi kweli hii imetulia?
IN GOD WE TRUST.
 
Mzee Dogo

Mzee Dogo

JF-Expert Member
388
225
Duh, may be a new kind of business, ama ndo masharti ya mnunuzi! but in any way hiyo haijatilia, jaribu kumpa ushauri rafiki yako kama akimaliza mapema biashara zake akafanye na mambo mengine ya maendeleo.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
85,260
2,000
queenkami, hebu nieleweshe vizuri. Ni kwamba huyo rafikiyo ni wa kiume, siyo? Na ananunua ndizi kutoka kwa huyo dada muuza ndizi na ananunua beseni zima? Halafu huyo dada anashinda kwa jamaa (na assume huyo rafikiyo ni wa kiume) halafu jamaa anammega hadi jioni?
 
bucho

bucho

JF-Expert Member
4,911
2,000
sio mbaya anamsaidia kutokaa juani mda mrefu .
 
roselyne1

roselyne1

JF-Expert Member
1,369
0
barter trade...hio,
kama ni makubaliano mie sioni tatizo..
ila huyo rafiki yako ni wale wanaume washamba wasiojiamini,.
usishangae next time akaanza kusarandia housegirl hapo mtaani kwao..lol:embarrassed::redfaces:
 
amezoea za kunyonga za kuchinja hawezi
 
Mtende

Mtende

JF-Expert Member
5,059
2,000
eeeh huyo nae kazidi ndo tabia gani hiyo sasa anafanya?
 
Kimbweka

Kimbweka

JF-Expert Member
8,613
1,225
WAPWA NA MABINAMU nina rafiki yangu ambaye huwa ananunua beseni zima la ndizi la dada mmoja hivi anayetembeza ndizi akisha nunua huyu dada anakaa kwake mpaka jioni anamchakachukua mpaka jioni. hivi kweli hii imetulia?
IN GOD WE TRUST.
tamu ya ndizi hiyo
 
father-xmas

father-xmas

JF-Expert Member
530
0
na assume kwamba huyo dada anapitisha hizo ndizi kila siku....................!
swali..je mshikaji anazifanyia nini ndizi zote hizo anazonunua mabesini kwa mabesini kila siku..............?
vidume tuna kazi..............!
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
20,540
2,000
WAPWA NA MABINAMU nina rafiki yangu ambaye huwa ananunua beseni zima la ndizi la dada mmoja hivi anayetembeza ndizi akisha nunua huyu dada anakaa kwake mpaka jioni anamchakachukua mpaka jioni. hivi kweli hii imetulia?
IN GOD WE TRUST.
hahaa mambo ya room mate wangu Kashy kule SUA
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
24,196
2,000
na assume kwamba huyo dada anapitisha hizo ndizi kila siku....................!
swali..je mshikaji anazifanyia nini ndizi zote hizo anazonunua mabesini kwa mabesini kila siku..............?
vidume tuna kazi..............!
nimejaribu kujiuliza ndizi zote hizo anafanyia nini........nimekosa jibu
 
father-xmas

father-xmas

JF-Expert Member
530
0
nimejaribu kujiuliza ndizi zote hizo anafanyia nini........nimekosa jibu
kuna mshikaji wetu fulani alikua anatuletea ndizi ofisini anasema zawadi toka shamba...........!
sasa rafiki ya QK inabidi afanye kitu kama hicho lkn bado hata huko office watapata maswali...inabidi Queen amshauri jamaa kama amependa achukue jumla halafu baadae wakiwa mke na mume...mke atapata utani mzuuri wa kumtania mumewe jinsi alivyokuwa akinunua beseni zima ili tu ampate................!
 
father-xmas

father-xmas

JF-Expert Member
530
0
WAPWA NA MABINAMU nina rafiki yangu ambaye huwa ananunua beseni zima la ndizi la dada mmoja hivi anayetembeza ndizi akisha nunua huyu dada anakaa kwake mpaka jioni anamchakachukua mpaka jioni. hivi kweli hii imetulia?[/COLOR]
IN GOD WE TRUST.

Queenkami,kama huyo msichani ni katoto kadogo......,itakua haijatulia,....na inabidi umsihi rafiki yako aache mara moja...........!
Ila kama ni mtu mzima,mradi dada hajabakwa....sion tatizo...........!
sasa rafiki yako hizo ndizi anapeleka wapi...........?
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
24,196
2,000
kuna mshikaji wetu fulani alikua anatuletea ndizi ofisini anasema zawadi toka shamba...........!
sasa rafiki ya QK inabidi afanye kitu kama hicho lkn bado hata huko office watapata maswali...inabidi Queen amshauri jamaa kama amependa achukue jumla halafu baadae wakiwa mke na mume...mke atapata utani mzuuri wa kumtania mumewe jinsi alivyokuwa akinunua beseni zima ili tu ampate................!
wanaume huwa mna kazi sana......mzima wewe lakini
 
father-xmas

father-xmas

JF-Expert Member
530
0
wanaume huwa mna kazi sana......mzima wewe lakini
mzima kabisa ............!
hofu na mashaka yangu ni juu yako wewe uliye mbele ya computer yangu...........!
vipi nije kukutembelea manta au ushapanda juu...............?
kama unahitaji nyoka nistue................!
 
Mamushka

Mamushka

JF-Expert Member
1,607
0
Huyo rafkiako kama angekua mdada ningeshangaa kidogo, but kama ni mkaka ananunua cash na bado muuzaji ana pata mambo na anaenjoy na kesho anarudi sioni kama kuna shida ndege hutua mti aupendao, hakuna cha ajabu hapo. Angefanya vibaya kama urafiki wenu ungekua zaidi ya hapo na kama nizaidi ya hapo usishangae ila angalia ni wapi umeanguka ujirekebishe muuza ndizi asisaidie, lakini kama ni just a friend let him ana hakizake anajua anacho fanya.
 
Preta

Preta

JF-Expert Member
24,196
2,000
mzima kabisa ............!
hofu na mashaka yangu ni juu yako wewe uliye mbele ya computer yangu...........!
vipi nije kukutembelea manta au ushapanda juu...............?
kama unahitaji nyoka nistue................!
he he....aisee chalii angu ngema imenu...imenuna.....tumepiga moto lakini hamna ki...hamna kitu.....niko duniani chalii angu....unaweza kuja kunicheki.....nipo gado
 
Forum statistics

Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom