Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

jamani tusaidiane kwenye hili,yupi mwenye afadhali kati ya watu hawa wawili anayekujali saana tu muda wote anataka kujua unafanya nini anakutext asubuhi na mapema kukujulia hali anakusaidia shida...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nachanganyikiwa hapa, ivi sikuhizi akinadada ni hale tu ndio muhimu kwenu ......:sad: Katika kumtafuta the significant other (yaani mke). Nlikuwa namsikia anti hapa Analonga na mwenzie...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Wanandoa wengi wa hapa TZ wa siku hizi wanakuwa na uzao wa watoto 2 na ikizidi sana 3 siyo kama wazamani ambapo walikuwa na uzao wa watoto 10 na zaidi. Hii inasababishwa na nini hasa. Maana hata...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Hivi ukifumaniwa na mmeo au mkeo, BF au GF hali inakuaje hapo? uasilia wa tukio la fumanizi
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nijambo la kawaida siku hizi kuona mwanamme kuwana mahusiano nje ya ndoa yake vyihivyo kwa mwanamke kuna mahusiano ya nje na mwanmume ali kadharika kwa wapenzi mwanamke anakuwa na boyfriends zaidi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi wana umme wenye (Kibinda)Wapenzi wao ujisikiaje katika jamii??
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Demu anayepiga kilaji (pombe) kwa sababu 1. Ni rahisi kumchakachua 2. Hushea mazungumzo na kuwa muwazi zaidi wakati kilaji kimekolea 3. Hupoteza aibu hasa wakati wa majambozi 4. Huzidisha mayowe...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Father arrested for defiling daughter Source: http://www.dailynews.co.tz/home/?n=14418&cat=home From MARC NKWAME in Arusha, 10th November 2010 A 50-year-old resident of Usa-River in Meru...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
where to dedicate our love when and how? je ni kwa watoto baada ya vurumai nyingi za maisha na mwandani au huko ndo kutaka kuwa chizi siku moja maanake kuna wakati u feel like there is something...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani namtafuta mwenza mwenye kunishauri juu ya mazur au mabaya nayotaka kufanya please email yangu ni kokudopeter42@yahoo.com
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kama upo kwenye uhusiano halafu haujisikii amani kufanya yale yaliyo sahihi tambua kuwa hapo unaburuzwa kihisia,mfano mpenzi wako akikukosea unaogopa kumwambia kwa kuhofia atakuacha tambua una...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ndogo nzuri kabisa Anayehitaji tuwasiliane PM :peace::peace::peace::peace:
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Mtu una mke wako wa ndoa halafu pia una nyumba ndogo nzuri tu kama kawaida! Lakini kwa nini ukipima gharama za undeshaji hizi nyumba unakuta ile ndogo ndo yenye matumizi makubwa sana! Lakini mzee...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau sio kwamba sijui madhara yake,...najua sanaaaa! Nimeshauri watu na kuwafundisha madhara yake mara nyingi,ila mie nashindwa kuacha. ikitokea nimeacha basi ni week moja basi narudia...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
I wonder unawezaje approach your lover who is over 25 apate kutahiriwa?Unaanzia wapi hadi aingie box ya kwenda hospitali to face the knife? Wakuu please advice.
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Kwa wanawake... Sio swali zuri, lakini inabidi sometimes uwe umeshaliwekea principle ili siku yakikukuta usiamue kutokana na hasira... Hivi kama mmeo unayempenda sana, kwa bahati mbaya siku...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu WanaJF nina nipo kwenye uhusiano na Mpenzi wangu kwa muda wa miaka 2 sasa, nampenda naye ananipenda lakini kwenye mwezi wa nane (8) mwaka nikasex na mtu mwingine mara moja TU. kumbe katika...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
kuna ndugu yangu sasa anamiaka 20 na anadai kwamba hajawahi kufanya zinaa je?kuna madhara yoyote anayo weza kupata / jinsia ni MVULANA
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ladies and Gentlemen, ''The King'' na wadau wengine wakubwa wa 'JF ISIYO NA STRESS' wapo kwenye mkakati wa dhati na wa kudhamiria kabisa kuelekea Dodoma wiki ijayo ili kuwapongeza na kuwapa mkono...
0 Reactions
217 Replies
15K Views
Popote mlipo mie ZD nimewamisi mnooo yani....kwa kifupi nimewakosa na nawatamani..... Nazikumbuka sana ofutopik zenu.... Wapwa wote mkiwakilishwa na ...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom