The Finest...Wewe ni kiboko, hongera sana!

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,255
2,000
Huyu mjukuu amenitisha sana, hebu ona hapa chini
The Finest
JF Senior Expert Member

Join Date: Wed Jul 2010
Posts 5,568

Thanks 1,695
Thanked 907 Times in 729 PostsRep Power
32

With over 5.5K posts in 5 months..sijawahi kuona! On average jamaa anarusha zaidi ya posts 30 kwa siku.

Bravo mjukuu!

Babu DC.
 

Kimey

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
4,117
1,195
He he he he ndo raha ya kutokua na wakoloni ambao sio Tineja...
 

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,255
2,000
umemkubali eeeeh!hebu mzawadie basi!
NOTE:kumbuka Finest ni member wa kile chama............!!!!!!!

Duuuu....Sasa wewe unaanza kutoka nje ya mada...Ila kwa jinsi ninavyowajua wapenzi wa infi..naweza kukusamehe. Hiyo addiction ni zaidi ya cocain!
 

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225
Tutajie basi tuvijue!

Haaaa Babu ku-maintain ID mbili na yenyewe ishu labda ningekuwa naudhuria jukwaa lile jingine la mustakabali wa taifa letu ningekuwa nazo mbili maana kule uchelewi kutoa matusi ukapewa BAN
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom