Kufutwa.


Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
6,617
Likes
3,549
Points
280

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
6,617 3,549 280
Jamani kwa uzoefu wangu toka nianze mapenzi mpaka sasa nimeoa, mara zote baada ya kufanya mapenzi wanawake hunifuta vizuuuri sehemu nyeti alafu na kujifuta wao pia. Sasa sijui wanafundishwa au ni nature inayowaalekeze kubeba jukumu la kumfuta mwanaume, (sijawahi wauliza). Ila mimi napenda sana this kind of care. Hata ukienda kwa changudoa ndie atakutoa condom(Please Papa Mt. karuhusu) na pengine kukupukuta. Ninachotaka kujua ni je kuna wengine mambo ni tofauti, yaani demu hakufuti au man ndie anamfuta demu seheme nyeti baada shughuli, au kila mtu anajihudumia kivyake?

Mtanisamehe kama hii mada ilishajadiliwa na mimi sikuiona.
 

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
18,154
Likes
2,451
Points
280

afrodenzi

Platinum Member
Joined Nov 1, 2010
18,154 2,451 280
duuuhhh kwanza kabisa karibu sana ..
halafu hili jina la Chapa Kazi... Kuna mtu mwingine alitumia...

nway kujibu swali lako inategemea mmemaliza kivipi...
na kila wakati inaweza kuwa tofauti...
mi binafsi mambo ya kufutana siyapendi..
nataka kuingia/tuingie bafuni...
kila mtu ni tofauti...
si ajabu wengine wanapenda kuiacha ikaukie...lol
 

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
6,617
Likes
3,549
Points
280

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
6,617 3,549 280
Afrodenzi nilishabisha hodi jana na kwamba mimi ni msomaji wa mda mrefu wa JF. Unaposema wengine wapenda yakaukie, una maana yale maji ya Mleba Guest House wengine ni perfume kwao?
 

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
911
Likes
38
Points
45

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
911 38 45
There is no formula katika hili. Mimi kawaida yangu baada ya kumaliza shughuli inabidi mpenzi ashike mike akaushe na mimi naingia chumvini kukausha.
 

Tall

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2010
Messages
1,431
Likes
17
Points
0

Tall

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2010
1,431 17 0
jamani kwa uzoefu wangu toka nianze mapenzi mpaka sasa nimeoa, mara zote baada ya kufanya mapenzi wanawake hunifuta vizuuuri sehemu nyeti alafu na kujifuta wao pia. Sasa sijui wanafundishwa au ni nature inayowaalekeze kubeba jukumu la kumfuta mwanaume, (sijawahi wauliza). Ila mimi napenda sana this kind of care. Hata ukienda kwa changudoa ndie atakutoa condom(please papa mt. Karuhusu) na pengine kukupukuta. Ninachotaka kujua ni je kuna wengine mambo ni tofauti, yaani demu hakufuti au man ndie anamfuta demu seheme nyeti baada shughuli, au kila mtu anajihudumia kivyake?

Mtanisamehe kama hii mada ilishajadiliwa na mimi sikuiona.
1.fanya vile roho inapenda. Kama unataka kufutwa mwombe mwenzio atakufanyia
2.kama ulivaa kondomu, hapo haina uchaguzi, akufute na aitoe kondomu mwenyewe vinginevyo ukijifuta au kuivua mwenyewe rahisi kuambukizwa hiv.
 

Forum statistics

Threads 1,203,900
Members 457,008
Posts 28,134,027