Utafanyeje ukigundua kuwa nyumba ndogo yako inamegwa na Mlinzi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,165
157,267
Una kipato kizuri, una mke na watoto wawili. Pembeni una kibinti kikali sana.
Umekipangia nyumba Kijitonyama na umemuwekea mlinzi wa kuilinda.
Siku moja unaenda kumtembelea bila taarifa, unawakuta wanamegana KIZENJI kwenye makochi (analiwa tiGO).
Je utafanyeje mzee
 
Demu ni wako tu pale uwapo naye yeye. Ukiwa haupo naye basi jua kuwa uwezekano wa kumegwa ni mkubwa. Anaweza akamegwa ofisini, kwenye gari, kichakani, ******, na sehemu zingine.

Hata mkeo naye usikute keshamegwa au anamegwa na njemba bila hata ya ufahamu wako. Kila mwenye kumega nje naye humegewa. That's just the nature of the beast.
 
Nyumba ndogo zote zina mabwana wengine, tena ni mabinti waliokwisha kukata tamaa ya maisha. Cha kufanya hapo ni kuondoka bila kurudi tena milele na milele!
 
Halafu kama mtu keshakubali yeye kuwa nyumba ndogo...usitegemee malaika hapo. Kicheche tu huyo.....na vicheche huja ktk hali na maumbile tofauti. Unaweza kukuta demu ana mwonekano wa heshima kabisa kumbe kicheche tu.
 
Inaonekana humtoshelezi. Hata wife nae pia angalie usikute nae anachakachua penzi kwa mlinzi
 
Kweli binadamu hatosheki hata umpe nini milele hatoridhika.
wewe hutosheki kwa mkeo, na kimada wako hatosheki na wewe.
Mlinzi huenda anamega ipasavyo.
We unamega kilokole, ona mlinzi asivyo na huruma, anakula hadi tigo
 
Nyumba ndogo zote zina mabwana wengine, tena ni mabinti waliokwisha kukata tamaa ya maisha. Cha kufanya hapo ni kuondoka bila kurudi tena milele na milele!

Hapana nawatoa nje nawaambia watumie kibanda cha mlinzi mimi nakwenda kurudi na nyingine tena!
 
Hivi inakuwaje mpaka mtu unakubali kuwa nyumba ndogo?
Halafu kama mtu keshakubali yeye kuwa nyumba ndogo...usitegemee malaika hapo. Kicheche tu huyo.....na vicheche huja ktk hali na maumbile tofauti. Unaweza kukuta demu ana mwonekano wa heshima kabisa kumbe kicheche tu.
 
Una kipato kizuri, una mke na watoto wawili. Pembeni una kibinti kikali sana.
Umekipangia nyumba Kijitonyama na umemuwekea mlinzi wa kuilinda.
Siku moja unaenda kumtembelea bila taarifa, unawakuta wanamegana KIZENJI kwenye makochi (analiwa tiGO).
Je utafanyeje mzee

Kwa nini, kwa nini, kwa nini? Una matatizo gani na mama watoto wako mpaka unaanzisha nyumba ndogo? Ni kipato kinachokusumbua? Tukumbuke hili: Mchakachajuaji huchakachuliwa. Ikiwa wewe unatoa pesa, wenzako watakuchakachulia bure. Ikiwa wewe unachakachua kwenye hoteli, wenzako watachakachua nyumbani mwako. Mila zetu zinaelekea wapi? Kuwa na nyumba ndogo imekuwa sehemu ya tabia zetu sasa. Tusishangae siku moja tunaingiza Ukimwi ndani.
 
Why would you deserve a truthfully love, while you haven't done it with your 1st wife. Kwahiyo kaka utatia akili, ujue kuwa hujakilimiliki so get lost!
 
Halafu kama mtu keshakubali yeye kuwa nyumba ndogo...usitegemee malaika hapo. Kicheche tu huyo.....na vicheche huja ktk hali na maumbile tofauti. Unaweza kukuta demu ana mwonekano wa heshima kabisa kumbe kicheche tu.

umenifurahisha sana mkuu.
natamani wote wenye nyumba ndogo wasome hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom