Wana jf hamna harusii!!!!!!

chiko

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
590
269
Sabalkheir wangwana, ishafika tena ule mwezi wa mashamramra ya KUO au KUOLEWA. Nimeangalia hapa jamvini, nimengoja kualikwa lakini hamna!!, ama kila mtu ashafunga na kufungwa??????.

Mimi nikisoma Threads zingine humu, jamaa hawaja kamatana, ama jamaa ikifika wakati, anafanya kimya kimya , alafu arudi jamvini bila mwenziwe kujua?????????
 
Duh mkuu unapenda mnuso eeh!!!!
 
Hatuna harusi wakati umesikia ROSE 1980 yupo honey moon!
 
Jamani! jamani tutaonana wabaya humu!!:boxing: aliyesema yupo honeymoon nani?? Ni simba gani anajaribu kuingilia kati??
 
Inawezekana!!!, Kapotea sana, na inkaa hilo njemba halimpi nafasi ya kuja jamvini!!!!!

mmh jaman wewe mbona nipo baba?
sema tyt mbayaa kaka asi unajua tena katika kutafuta pesa ya kuwahonga akina mariooooooo akina teamo na finest....
apa naandikia nikiwa toilet manake ata kushka mawasiliano inakuwa tyt
cu n missng u badly
 
:A S-alert1::A S-alert1::behindsofa:
 
nitafutie mume kwanza hahah lol
halafu we utakuwa mstari wa mbele kwenye harusi yetu lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom