hili jambo vipi?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Eti wanaume walevi wengi wao hukojoa kitandani wakati wamelala na ulevi wao?
Nimepeia kwenye kijiwe kimoja hapa K/ndoni B nikakuta madereva taxi wanapeana changamoto juu ya swala hili!!!

Wana JF hili jambo lina ukweli wowote?
Na kama ni kweli waliopo kwenye ndoa wana lihandle vip hili suala?
 
Kalewe halafu utapata majibu

Si hitaji kulewa na situmii hii kitu
Nahitaji wenye uzoefu na waliokumbana na hii kitu
Na huenda wakawa na mawazo ya kuwasaidia wanaohangaika na hili jambo
 
Back
Top Bottom