Nimeingia cha KIKE


Joined
Dec 8, 2010
Messages
29
Likes
0
Points
0

Liverpool

Member
Joined Dec 8, 2010
29 0 0
Wakati nikitafuta kivuli ili nijisitiri kwa jua hili kali nimejkuta nimekalia kuti kavu baada ya kupendwa na shemeji yangu.Kisa hichi kimetokea baada ya kupeleka maombi JF kumbe shem nae ni mdau mkubwa wa janvi.Sasa ugomvi mkubwa kwa wapenzi hao haushikiki nashindwa hata kumwangalia shem usoni make alivyojidekeza kabla hajajua kua mi ni nani?
 

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
336
Points
180

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 336 180
Wakati nikitafuta kivuli ili nijisitiri kwa jua hili kali nimejkuta nimekalia kuti kavu baada ya kupendwa na shemeji yangu.Kisa hichi kimetokea baada ya kupeleka maombi JF kumbe shem nae ni mdau mkubwa wa janvi.Sasa ugomvi mkubwa kwa wapenzi hao haushikiki nashindwa hata kumwangalia shem usoni make alivyojidekeza kabla hajajua kua mi ni nani?
Kwanza kabisa, hueleweki!...Maelezo yako hayako clear kabisa, inahitaji miwani kupata!

Lakini pia hapo kwenye red, ulipeleka maombi ya nini JF?...ya mchumba?...ya kuwa member?
Pia hapo kwenye bluu, wapenzi hao ni akina nani?...shem yako na mkewe, au wewe na shem yako?
Lakini kama wewe ulienda kumsemelea shemiji yako kwa mkewe, basi hufai kuwepo hapa!
Weka sawa maelezo ukitaka michango!
 
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,129
Likes
262
Points
160

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,129 262 160
We ulitaka uingie cha kiume? Hukusoma maandishi ya Ladies na Gentlemen??? We kwanza muongo sana post ndo ya kwanza halafu unasema ulileta maombi JF we kijana hebu taratibu aisee sie watu wazima usitufanyie mchezo kama umesikia wewe allahhh
 

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Messages
901
Likes
25
Points
45

kokudo

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2010
901 25 45
Dena amsi bila shaka ndo anajfunza 2msaidie jamani ili awe sambamba c unajua 2najfunza kutokana na makosa
 

SG8

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
3,370
Likes
427
Points
180

SG8

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
3,370 427 180
Jamaa msanii kweli. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisahau kwamba hajawahi kupost chochote.
 

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Messages
901
Likes
25
Points
45

kokudo

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2010
901 25 45
Krokwini mbona mkali kama jina lako!hakuna aliyezaliwa akijua wote 2najifunza na kila mmoja uelewa wake n tofauti come down.
 

Forum statistics

Threads 1,204,498
Members 457,348
Posts 28,161,039