Kina Dada...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
2,000
...ni kweli kwamba mkimpenda kijana (au mwanume) - an yeye akawa hajui kuwa anapendwa huwa mnamuonyesha chuki?

Swali langu linatokana na kisa cha kweli kifuatacho:

Kuna kijana tuliajiriwa nae mahali, bosi wetu akiwa mama mtu mzima. Baada ya muda mfupi mama akaanza kumwandama kijana hata kwa kisa kisichojulikana. Tulianza kumtania tukimwambia kuwa ameongezewa jukumu jipya kwamba "he will be responsible for anything that goes wrong."

Kijana yakamfika shingani, akasema kisa na mkasa? Akaacha kazi. Sasa karibuni naambiwa mama baada ya kuchapa kinywaji aliropoka akasema jinsi alivyokuwa anampenda kijana hadi kuumia!

Kina dada niambieni, yaweza kuwa kweli?
 
Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601

Duh mizee mingine bana laana tupu kiruuuuuuuu waiiiiiiii
 
Baiskeli

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
336
225
Duh mi kama nampata huyo mama safi sana, anipe kazi maana sina kazi nnampa tu haki yake tena kwa ufundi mkubwa.
 
Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,092
1,250
Wamejaa tele wa hivyo. Mie sikufanyii visa nakupa live tu nimekumind mshikaji unasemaje? nitakupa na safari zote za kikazi uende wewe halafu mie nakuja kesho yake au vipi
 
Lukolo

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
5,147
2,000
Wamejaa tele wa hivyo. Mie sikufanyii visa nakupa live tu nimekumind mshikaji unasemaje? nitakupa na safari zote za kikazi uende wewe halafu mie nakuja kesho yake au vipi

Halafu nikikataa utafanyaje? Fikiria kwamba mimi ni kijana pengine niliyeoa, ninayejiheshimu na ninakuheshimu wewe bosi wangu kama mamangu pengine. Unafikiri nitakukubalia kiurahisi tu kwamba haya tuendelee kwa vile unanipenda? Thubutu!! Hunipati ng'o!! Lakini sasa ninachojiuliza, nikishakataa hivyo hutanifanyia visa kweli? Maana kutakuwa kuna hali ya kujiona kama umedhalilika na hali ya kutojiamini, lazima tu uanze visa kwa vyovyote vile.
 
cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
0
Duh mi kama nampata huyo mama safi sana, anipe kazi maana sina kazi nnampa tu haki yake tena kwa ufundi mkubwa.

utakufa siku si zako,
hapo ushawaza kulelewa,jitume uwe na uhuru wa kuwa na umpendae,vijana wa siku hizi bwana kupenda mimama tu!
 
Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,092
1,250
Halafu nikikataa utafanyaje? Fikiria kwamba mimi ni kijana pengine niliyeoa, ninayejiheshimu na ninakuheshimu wewe bosi wangu kama mamangu pengine. Unafikiri nitakukubalia kiurahisi tu kwamba haya tuendelee kwa vile unanipenda? Thubutu!! Hunipati ng'o!! Lakini sasa ninachojiuliza, nikishakataa hivyo hutanifanyia visa kweli? Maana kutakuwa kuna hali ya kujiona kama umedhalilika na hali ya kutojiamini, lazima tu uanze visa kwa vyovyote vile.

Ukikataa kinachofata ni hicho kilichompata huyo kijana
 
afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,152
2,000
aaaaaaaaaahhhhhhhhhh bwana mambo ya chuki mi wala siyajui..
ila kuna njia taalum ambazo tunatumi kumaonyesha kwamba tunawapenda..
bila hata ya kusema neno....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom