Jamii forum yataka kunivunjia ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamii forum yataka kunivunjia ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Peter Kings, Dec 10, 2010.

 1. P

  Peter Kings Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekaa Jamvini takribani miezi miwili ila naona maisha yangu ya ndoa yako matatani. Nachelewa sana kutoka kwenye shughuli zangu, ila nikifika nikisha pata chakula cha jioni nahamia kwenye laptop na kuhangaika kwenye jamii forum mpaka alfajiri. Mama hajapata haki yake tangu nijiunge na jamii forum. Nikisha kaa sibanduki mpaka alfajiri. Mida hiyo nikiomba mzigo mama hataki anasema kumekucha.

  Naomba MODS mnitoe kwenye forum yenu nisije nikavunja ndoa yangu.

  Byeeee.
   
 2. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Jaribu kuwa na Ratiba JF isiwe sababu ya wewe kutotimiza haki ya Ndoa....angalia usije megewa na wenzio wasio kuwa busy.tafuta muda wa JF na familia yako kwa ujumla.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mkeo hayupo humu?
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...aiy---yaaaahhh! Self discipline inasumbua...
  huenda hata Mods wakiku Ban, utakuja na ID nyingine,...!
  Pole sana,....
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmmhhhh bwana we nadhini kila mtu huku anamajukumu kama yako na familia...
  ila cha muhimu nikujaribu ku control muda wako..
  muda ambao unatakiwa ku spent na bibie fanya hivyo...
  na kama unawatoto na wao wape mda wao pia....
  jaribu sana kuiweka familia mbele....
  mmmmhhh tena wakati wa usiku ndo usiingie kabisa huku....
  huo ndo muda wa wekupata raha zaidi ya ambayo utaipata hapa kweye JF..
  take easy, take it slow, and take care....:party:
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Duh..mkuu no pun intended lakini wewe ni limbukeni.
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kama ndoa inaushida kwa kisingizio cha jf basi hata kazi uko ofisini hufanyi unhitaji kuustafishwa.
   
 8. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kifupi wewe Ni mjinga....jielimishe mwenyewe uelimike........
   
 9. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hauna lolote , wewe una kicheche unachomalizia haja zako, ukifika home unamuona mkeo taka taka na kwa sababu net is so addictive basi una kaa online kumkwepa mkeo.
   
 10. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mimi sikubaliani na mada hii ingawa sipendi kutema cheche kama na wengine waliogadhabishwa ila naomba nitumie kauli ya busara na kizalendo kukushauri ndugu yangu. Hakuna haja ya kuwaomba jf wakufute ila unaweza ukahamua usiwashe laptop yako wala kutokuingia internet na hautaona wala kusikia jamii forums wakikuuliza mbona hujaja leo? Mimi huwa nakawia hata miezi minne bila kwenda internet kusoma magazeti kuangalia tvs na hata kusikiliza radio, na hakuna m2 anae nihukumu sembuse wewe na jf kaka jihukumu mwenyewe kwa kwenda bar kupata beer kwa pesa yako mwenyewe bila kulazimishwa.
   
 11. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Naomba namba ya mkeo niwasiliane nae. Hujapiga mashine miezi miwili kisa jamii forum? Mlete tukusaidie kaka
   
 12. B

  Brandon JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  well said, hope itamsaidia.
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kamanda... this is what we call blame it on the rain or sunshine

  Mapungufu yake anaseingizia JF

  LOL
   
 14. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Na ndio maana kaja hapa ili aondoe ujinga wake wewe umsaidie. Hapo hujamsaidia bado. Sasa nani zaidi ya mwenzake hapo??
   
 15. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 280
  Je kweli we ni rijali?
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Acha uwongo!
  Mbona kwa miezi hiyo mi2 una posti 10 tu, huku ukilalama kwamba unakesha hapa, ina maana wewe huchangii kitu...sasa huwa unafanya nini, au huwa upo kule kwa Maria-Rozina?
  Mpende mkeo bana...JF uliikuta na utaiacha!
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Walewale wakusingizia vitu eti JF inakufanya usimpe haki yake mkeo?? Acha visingizio bwana wewe una kichenchede huko unamaliza haki yako halafu ukija home unajidai eti uko busy na laptop wizi mtupu huna lolote.
   
 18. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #18
  Dec 10, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahaha kuna watu hawabanduki kule lol..Maria rozina kiboko!
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Dec 10, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wewe lazimas utakuwa ulikuwa unazama PM au kulewa wakubwa.... haiwezekani upende siasa, kiasi hicho.

  mods hebu ban hii semegi
   
 20. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Duh Post kumi unaleta longo longo acha kuisingizia JF,ingekuwa Ruta wa Arusha ningeelewa kidogo.
   
Loading...