Wanaokuja kwa kasi....Rutashubanyuma, Dena Amsi...wanatisha..

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,255
2,000
Hawa jamaa inaonekana wanakuja kwa kasi sana......naomba tuwapashie wafuatao, kama kuna watu sijaowaona msisite kunistua! They deserve a big clap!!!!

Rutashubanyuma
JF Senior Expert Member
Join Date: Fri Sep 2010
Posts: 2,800
Thanks: 1,211
Thanked 970 Times in 374 PostsRep Power
27

Mkuu Ruta ana wastani wa karibia posts 31 kwa siku.....Kweli anatisha!

Dena Amsi
JF Senior Expert Member

Join Date:Tue Aug 2010
Posts: 1,469

Thanks:5
Thanked 201 Times in 164 PostsRep Power 23

Dena ana wastani wa posts 12 kwa siku....si haba ila namwomba akumbuke kutumia kidude cha thanks (blue)!


DC
 

Kaizer

JF-Expert Member
Sep 16, 2008
25,280
2,000
Hawa jamaa inaonekana wanakuja kwa kasi sana......naomba tuwapashie wafuatao, kama kuna watu sijaowaona msisite kunistua! They deserve a big clap!!!!Mkuu Ruta ana wastani wa karibia posts 31 kwa siku.....Kweli anatisha!Dena ana wastani wa posts 12 kwa siku....si haba ila namwomba akumbuke kutumia kidude cha thanks (blue)!


DC


Good analysis Rit. Maj. DC (1947) KAR
 

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,617
1,225
Retired Maj Gen DC (1947)

HABARI YAKO BANAA SIJAKUONA KWENYE GWARIDE LA UHURU AU HAUTAKI KUKUMBUSHIA ENZI ZAKO
 

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,255
2,000
Haiwezekani kamwe sitoi thanks kwako umenichana live halafu nikkupe thanks yanini

Najua unabana kidogo ila with time utaachia tu..umesahau kuwa unadeal na Babu DC...yuko ndani ya hii house toka 1947..si mchezo ati!
 

Kaizer

JF-Expert Member
Sep 16, 2008
25,280
2,000
Haiwezekani kamwe sitoi thanks kwako umenichana live halafu nikkupe thanks yanini

For that useful post jamani kwani huoni...hata akikuchana live mpe thanks tu DA ndo 'utamaduni' wa hapa...lol
 

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,092
1,250
For that useful post jamani kwani huoni...hata akikuchana live mpe thanks tu DA ndo 'utamaduni' wa hapa...lol

Kesho. Na wewe acha ushabiki nilikupa hesima ukawa wa kwanza kupata thanks yangu halafu unaleta maneno tena? Chair vipi
 

Nightangale

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
265
195
Retired Maj Gen DC (1947)

HABARI YAKO BANAA SIJAKUONA KWENYE GWARIDE LA UHURU AU HAUTAKI KUKUMBUSHIA ENZI ZAKO

Hivi nani wanaoendaga kwenye haya maadhimisho? Kuna alawansi inatolewaga?
(hapa siulizii wale vikosi vya magwaride na viongozi wa chama na serikali)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom