For Jf member in morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

For Jf member in morogoro

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Dec 4, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Jamani wana jamii mnaoishi morogoro mimi nipo katika mkoa wenu! ningefurahi kama ningekutana na anyone jf member!if any pls pm me.
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160  she or he na time zipi?
   
 3. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tukutane wapi? na lini sema kama kutakuwa na bia.......
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Mda ambao wewe unaweza kuongea na mtu unajua unamheshimu.
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Njoo Kaumba hapa utakuta nimekaa kaunta nakunywa Serengeti
   
 6. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  wape hai waluguru!
   
 7. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Unaita watu halafu hujui mkutane wapi na saangapi? kweli wewe huja tulia hata kidogo......
   
 8. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Baba Enock

  Kama kaumba ndio maeneo yako......... Basi hicho nichoo cha kike usitegemee great thinker atakuja maeneo kama hayo
   
 9. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Nilidhani atasema sehemu zenye hadhi unasema kaumba na chip-kidz nikafanye nini huko!!
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Mpaka nimeondoka hakuna wakuni pm!!mnanikaribisha kaumba uwanja wa fisi mishikaki nyama za mbwa!!byebye!!!
   
Loading...