Sikutegemea huyu mdada?

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Wana JF kuna siku nikiwa naishi Mkoani Tanga sikuamini kilichonitokea kwani kulikuwa kuna dada mmoja nilisoma nae shule ya sekondari form five na six.Tulipotezana kwa muda na baadae kuja kukutana tena na kila mmoja alikuwa ameajiriwa na kazi yake basi tulianza mawasiliano ndipo siku moja akafunga Safari kutoka Dar hadi Tanga.Nilimpokea vizuri na kwenda nae hadi kwangu.Mimi nilikuwa ninachumba kimoja tu hivyo nae hakusita kuwa nami katika chumba hicho.
Kama mwanaume lijali nilijua wazi kuwa usiku lazima ni chakachue siku ya kwanza tulilala kitanda kimoja kila nikiomba mchezo alinitosa kabisa? Siku ya pili ilikuwa hivyo hivyo ila nilijaribu kulazimisha kilichotokea ni kuambulia kuishika tu kwa mbali.
Sikuweza kuamini na kila mtu na marafiri zangu walijua siku hiyo mimi nimechakachua lakini ukweli sikuchakachua na ilibidi nijifanye kuwa nilichakachua tu na kujipa imani kuwa nitachakachua. Na siku ya tatu nilimsindikiza na kumfanyaia shoping tayari kwa kwenda kwao Dar.
Je nilichokifanya kilikuwa sahihi au nilikosea ? hadi leo nikimpigia simu huwa anacheka tu.
 
ulifanya vyema
mwte tena akutembelee
ipo siku atakupa
usilazimisha dudu play
u just subiri tym wl tell na atakupa yeye mwenyewe!!
 
Mi nadhani ulikosea maana kama alikwambia no ulipaswa kuheshimu uamuzi wake. Anyway nae alifanya vizuri maana alionyesha msimamo wake.

Kuhusu kumpigia cm ye anacheka inawezekana amekuwa na interest na wewe. Vunja ukimya muimbishe binti kama unampenda kweli na sio umchakachue then umdump binti wa watu.
 
Anacheka kwa sababu ulicheza na k. K huwa haichezewi hasa ikiingia ktk 18. U were suposed 2b aggressive angetoa tu.
 
Kumuita sasa ni kazi maana anaweza tena akafanya hivyo hivyo lakini ngoja nitakuja kujaribu tena
ulifanya vyema
mwte tena akutembelee
ipo siku atakupa
usilazimisha dudu play
u just subiri tym wl tell na atakupa yeye mwenyewe!!
 
Ushauri wako ni mzuri sana na nimeupenda
Mi nadhani ulikosea maana kama alikwambia no ulipaswa kuheshimu uamuzi wake. Anyway nae alifanya vizuri maana alionyesha msimamo wake.

Kuhusu kumpigia cm ye anacheka inawezekana amekuwa na interest na wewe. Vunja ukimya muimbishe binti kama unampenda kweli na sio umchakachue then umdump binti wa watu.
 
tehe huyo ndo mwanamke bana

tatizo la awa bnadamu wamezoea wakigonga m;lango wanafunguliwa....m so hapy for that gal
yaan wamekremisha vbaya vbaya et skuizi demu atongozw kwa siku mbili just masaa tu watu wanakula mzgo
watambue na waaache kugeneralize kila demu ni wa dk moja chapa....aka chapwa chapwa!
wanashindwa kutofautisha mafanyabiashara na wasichana kawaida...i wsh aende tena afu amnyime tena...ehh mwenyewe akiniskia ataniua.....!!!!
 
kaka haya Mageto si ndiyo yamewafanya akina Babu Seya wapate shida hadi leo?

dah! nakulaumu sana mwana...kitu unayo geto,sita kwa sita halafu inaondoka hujaichapa? aaaah...we sio mwana...ndo maana kingston unawaongopea umechapa..manake ungewapa ukweli wana wangekutenga!
 
Lakini kwanini asingeniambia nimchukulie nyumba ya wageni tu kuliko kulala nae kitanda kimoja?
tatizo la awa bnadamu wamezoea wakigonga m;lango wanafunguliwa....m so hapy for that gal
yaan wamekremisha vbaya vbaya et skuizi demu atongozw kwa siku mbili just masaa tu watu wanakula mzgo
watambue na waaache kugeneralize kila demu ni wa dk moja chapa....aka chapwa chapwa!
wanashindwa kutofautisha mafanyabiashara na wasichana kawaida...i wsh aende tena afu amnyime tena...ehh mwenyewe akiniskia ataniua.....!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom