Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamaa kamaind demu bar! Demu kaenda uani na jamaa kamfuata na kukaa mlangoni akimsubiri msalani Demu katoka na kukuta jamaa amesimama hapo mlangoni Kamuulizi vp mbona upo hapa Jamaa akajibu "...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wana JF habarini za week-end? Bila shaka imeenda salama kabisa na kila mmoja ameweza kurejea kwa mkoloni wake kwa utumishi wake... Leo napasua ukweli wa moyo wangu juu ya imani hasa kwenye uwanja...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Baada ya kutafakari sana na kwa muda mrefu kuhusu mahusiano yangu na Wife na jinsi ninavyoshuhudia toka kwa wanandoa wengine au familia...I came to a conclusion that.."WOMEN ARE ALWAYS RIGHT" . My...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani nimeona hawa jamaa wanafaidi sana! Sijui hii fani ya ufataki inasomewa wapi nipeleke applications walau nitumiwe application form ili niweze peleka bodi ya mikopo. Ushauri wapwaz
0 Reactions
42 Replies
4K Views
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ewe mwananmke, umekutwa na mwanaume mwingine ndani ya kitanda cha mumewe, ukasamehewa, umekutwa ukifua nguo za ndani za mwanaume mwingine ilihali umeolewa, ukasamehewa, umekuwa ukilala siku kadhaa...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
In the Philippines, a Struggle to Reconcile Faith and Love By CARLOS H. CONDE Published: December 9, 2010 MANILA - Surrounded by votive candles and flowers, the couple...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF nimekwama naomba wale wenye vigezo wanifumbulie. Ninahitaji mchumba wa kuoa lakini bado sijafanikiwa huko mitaani kukumbana na chaguo halisi. Sifa; 1.Awe mweupe 2.Umri 18 hadi 25...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
xmas inakaribia...! nahitaji mrembo awe maza-xmas wangu.....!anisaidie kugawa zawadi siku ile ya Noel...!then tukishamaliza kugawa zawadi tunarudi home nampa na yeye ZAWADI yake...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
HAPPY HOLLIDAY PIPO :A S clock:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanini wanawake/mabinti wanaitwa majina haya? Wadudu/ dudu...? Vyombo/chombo..? miwashawasha/washawasha....? mizigo/mzigo/zigo...? n.k, Kuna sababu gani ya haya majina?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jinsia ya kiume, ya kike na tendo lenyewe ndio vitu vyeme majina mengi sana. kitu cha kiume utasikia kikiitwa mtarimbo, dudu, dude, kukwa lao, shafti, rungu, mpilipili, mkongojo, bakora...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawasalimia kwa heshima na taadhima wana JF wenzangu,nilipotea kidogo kwa takriban siku 3,4 kwani nilikuwa nasumbuliwa na maumivu makali ya mguu wa kulia lakini nashukuru mungu nimefanyiwa check...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Kama mke wangu alizaa huko kabla sijamuona, Je mtoto wa mke wangu ni ndugu yangu? Je lwapo na mimi nlikuwa nimezaa kabla ya ndoa kuna ubaya gani watoto wetu ambao kila mtu alizaa kabla hatujaoana...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Baghosha na bhakima, napenda kujua kati ya watu wa bara na wa pwani wepi ni wataalam zaidi kwenye uwanja wa sita kwa sita?
0 Reactions
33 Replies
13K Views
wana jf habarini za muda!! bwana mi nipo kwenye uhusiano na bint fulani tangu 2007 inshort alinitokea ckua nimempenda kiviiile sema nikazidiwa na mapenzi yake.nikawa chuo dsm yeye arusha.kamaliza...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wana JF naomba mnishauri kitu mimi kuna dada mmoja ninampenda sana na yeye analifahamu hilo maana nimewahi kumueleza kwamba nina mpenda sana ningependa tuoane, akaniambia hapana maana yeye hana...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Mzee Mwanakijiji tunaona ukituma tu hadithi zako huku, lakini hatukuoni ukichangia kwenye mabandiko ya watu wengine, je kulikoni??
0 Reactions
8 Replies
2K Views
When your partner leads a double life To the outside world, he looks like the perfect gentleman but beneath that carefully put-together front lies a completely different persona. Photo/FILE...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom