Hivi ni kwa nini?

Bongemzito

Senior Member
Nov 5, 2010
162
0
Najiuliza siku zote sipati jibu,imekuwa ni kama desturi kwa hawa wa kina dada wanakuwa c wa kweli katika kutaja umri wao wa ukweli,sasa cjui wanaona aibu....kuna vitu ambavyo confidential lakini hili la umri nalo?...
 
Tambara Bovu

JF-Expert Member
Dec 19, 2007
585
0
Najiuliza siku zote sipati jibu,imekuwa ni kama desturi kwa hawa wa kina dada wanakuwa c wa kweli katika kutaja umri wao wa ukweli,sasa cjui wanaona aibu....kuna vitu ambavyo confidential lakini hili la umri nalo?...
ni pm nikutajie umri wangu.we unataka kujua umri wa akinadada tu,kulikoni?
 
Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,809
0
ndio zao, na mara kadhaa huwa wanashusha umri wao ili kuonekena ni vi-binti
 
klorokwini

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
8,675
1,225
womens always lie about their age, mens always lie about their wage. weka hii kwenye signecha yako ya JF.
 
Lizzy

JF-Expert Member
May 25, 2009
23,663
2,000
Najiuliza siku zote sipati jibu,imekuwa ni kama desturi kwa hawa wa kina dada wanakuwa c wa kweli katika kutaja umri wao wa ukweli,sasa cjui wanaona aibu....kuna vitu ambavyo confidential lakini hili la umri nalo?...

Angalia kitambulisho!!!Unafanya kama utani kumwambia unataka kuhakikisha yeye sio chini ya 18!
 
cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,586
0
unabisha? mimi linapokuja suala la salari yangu nakuwa msanii kuliko kikwete. na hako kamsemo nimekafanyia research kabisa kana ukweli flani.
sasa si shida sana kuishi maisha ya uongo?
mm nikipmpenda mtu hata kama anapokea elfu hamsini kwa mwezi sio tatizo.
 
klorokwini

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
8,675
1,225
sasa si shida sana kuishi maisha ya uongo?
mm nikipmpenda mtu hata kama anapokea elfu hamsini kwa mwezi sio tatizo.

aaaargh mshahara ni siri ya jeshini bana! demu akijua mshahara wako imekula kwako. angalia ile sredi ya pair za viatu uone balaa kule, wadada wanaongelea pair 100 za viatu na pengine ukiuliza kazi ya baba paroko wake ni kuchimba vyoo. Baharia nasema SIDANGANYIKI!
 
Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,058
2,000
Lakini huwa haisaidii na kudanganya Umri wao kwani utawaona tu..................
 
Tata

JF-Expert Member
Dec 3, 2009
5,625
2,000
unabisha? mimi linapokuja suala la salari yangu nakuwa msanii kuliko kikwete. na hako kamsemo nimekafanyia research kabisa kana ukweli flani.

Habishi kitu chochote ila anatoa angalizo kuwa kwenye kidhungu hakuna kitu inaitwa MENS bali kuna MEN. MEN wingi wa neno MAN.
 
AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
0
unabisha? mimi linapokuja suala la salari yangu nakuwa msanii kuliko kikwete. na hako kamsemo nimekafanyia research kabisa kana ukweli flani.

hamna research hapo na huu si ukweli kabisa nakataa,labda wewe bro,Kuna haja gani ya kudanganya?kwa nini unataka nini ili iweje?na akija ona salary slip yako unaficha wapi uso wako?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom