Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

WKumekuwa na mkanganyiko katika kutambua maana na tofauti ya ndoa batili na ile batilifu. Kimsingi hizi ni ndoa mbili zenye hadhi ya tofauti miongoni mwa wanandoa husika na mbele ya macho ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mods msiitoe topic huku please. Kwa kawaida,mwanaume ana 2 balls (korodani,kende),....sijui kama ndio kawaida kweli au ni wengi wana 2balls,... wapo wenye ball moja (1),...na wapo wenye 3 balls...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nina bint yangu yuko form two. Nilikuwa najaribu kufuatia mwenendo wake nikagundua vijana wameshaanza kumchakachua,nilipofuatilia kwa karibu zaidi nikagundua ana kaboyfriend shulen na kijana mmoja...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
(Picha kwa hisani ya Africabythebay) Pubococcygeus muscle (PC muscle) Si kawaida katika maisha ya kila siku ikatokea mtu kuwa na funguo ambazo ukiwa nazo unaweza kufungua mlango wa kila...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Nashukuru wana jf kwa makaribisho mazuri, hivi inakuwaje mwanaume anakuwa muongo anakudanganya for two years kwamba hajaoa, then unakuja unagundua kaoa ,ana mke na watoto Mie nimedanganywa na sasa...
4 Reactions
146 Replies
10K Views
jamani wana jf kwa muda mrefu nimekua nikitafakari kua je watoto mapacha ni baraka au si baraka kua nao?? kuanzia swala la malezi ya mimba, kuzaliwa,kwenda shule hadi wakiwa wakubwa. nahitaji your...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ukitembela fb utakutana nayo moyo kiza kinene uwezi jua yupi mkweli yupi mwongo anaekuzingua...ila mioyo ingewekwa wazi kujua huyu anakuwazia nn cjui km dunia ingekuwepo..oh which is which nw...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
SIRI ZA MAISHA (SECRETS OF LIFE) by Kahabi Isangula in Sex & Relationships Baada ya 'kudownload' nakala yangu na kulipia vidola kadhaa kwa kutumia CRDB Visa kadi yangu. Nimeridhika kutoa fedha...
1 Reactions
2 Replies
9K Views
Imetokea huko Longido, mkoani Arusha. Watoto wa kiume wakimsaidia mama yao aliamua kumfuata baba yao ambaye alikuwa nyumba ndogo kwenda kumfumania baba yao. Kwa bahati mbaya mzee akachoropoka na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina mpenzi ambaye nimedumu naye kwa kipindi cha mwaka 1 na nusu hivi sasa. Lakini toka mwezi wa tatu nimetokea kupoteza ham ya mapenz juu yake. Yeye anaingia mwaka wa 3 sauti nami naingia mwaka...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
There are three (3) types of women according to men's perspective. 1. HOUSEWIVES Advantages * She stays home and takes care of kids and household chores. * She is always good in bed...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Hivi kwa nini kila inapotokea tafrani kidogo huwa mnapenda kuwaadhibu wenzi wenu kwa kuwanyima ile shughuli pevu? Yakitokea mabishano kidogo basi mdomo utavutwa mchana kutwa na ikifika usiku...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ni research nimefanya kwa watu ninaowajua na nisiowajua kuna wanaume wengi waliokwenye ndoa wameshindwa kuweka sawa mambo yao kwenye ndoa lakini wakitoka kwa nyumba ndogo kuna ambao walikuwa...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Demu wangu mpya hatakaki tufanye mapenzi eti hadi tufunge,ndoa,nikamuuliza kama ni bikira,aksema ni mipango ya Mungu dah hapa sijielewi,au ndivyo illivyo?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
hello wana JF mimi ni baba wa mtoto mmoja wa kiume na nina miaka 26 na bs in computer science tatizo langu ni kwa bahati mbaya tulishindwana na mama wa mwanangu na kukimbilia Dubai kwa ndugu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni mvulana nina umri wa miaka 23 natafuta mchumba ili baadaye aje kuwa mke wangu please im siriaz contact0755359708 napenda aliye siriaz tu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana JF, Last week kipindi cha Jahazi - Clouds FM walitangaza au walisema kuwa wanandoa wanao tembea nje ya ndoa zao kwa wanaume ni 70%(hutoka nje ya ndoa) na kwa wanawake ni 60%(hutoka nje ya...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
kuna jamaa mmoja majuzi alikuta pakiti ya kondomu katika pochi ya mke wake ambayo ilikuwa imebaki na kondomu moja, kwa maana hiyo pengine zilikuwa zimetumika mbili kwani kwa kawaida huwa zinakaa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Do you remember those days,when you couldn't even eat before you saw or talked to your love? Yes,i do. My first love was when i was back in secondary school. I was young,but am sure that is...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Najua ni kweli kuwa kwa % nyingi mwanamke ameumbwa kimatamanio mbele ya macho ya wanaume hivyo kutongozwa ni lazima bt kwa leo Napenda kujua kama ni jambo la busara kwa wanawake/mpenzi/mke...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Back
Top Bottom