Wanandoa wanaotembea nje ya ndoa zao (wanaume 70% & wanawake 60%) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanandoa wanaotembea nje ya ndoa zao (wanaume 70% & wanawake 60%)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jethro, Sep 11, 2011.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Last week kipindi cha Jahazi - Clouds FM walitangaza au walisema kuwa wanandoa wanao tembea nje ya ndoa zao kwa wanaume ni 70%(hutoka nje ya ndoa) na kwa wanawake ni 60%(hutoka nje ya ndoa), kwa utafiti huo kwa wanandoa/na ambao hamja ingia kwenye ndoa mnakubaliana na huo utafiti au muna mawazo/mtazamo tofauti?

  My Take:

  Utafiti huo una ukweli, kwangu me naamini hivyo.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  wangeanza na utafiti wa umasikini na umbumbumbu wa viongozi wetu....

  kama walikosa kazi ya kufanya........

  nani ana lala na nani sio jambo la muhimu saana kama watu hao ni watu wazima na hakuna sheria zinazovunjwa
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kuna elements za ukweli na hii ni outcome ya moral degradation inayotokana na mfumo mzima tunaoishi nao... si ndoa tu, uadilifu haupo kwenye nyumba za ibada, makazini, kwenye biashara na hata ndani ya familia (mambo ya kawaida tu)

  Umaskini na umbumbumbu pia huchangia hali tuliyopo

  IN SHORT I WOULD SAY, TANZANIA IS A FRUSTRATED SOCIETY
   
 4. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  The Boss!!!!

  Khaaaaa ndugu hata leo siku ya Jpili twaongelea mambo ya kifamy wewe ume komaaaa tu kwenye mambo ya uongozi which means Politics ina ku affect kiasigani siju,

  We just give us your opinion hapo usitupleke huko kwenye tofauti uzizaniazo,
  Au wewe mwambatao anatoka nje au wewe ndie super star wa kula shambaz huko nje???
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Personally nakubaliana na utafiti huo.... ila kwa wanawake wamezidisha na kwa wanaume wamepunguza hizo asilimia....
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Sep 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180

  The Boss tukiangalia familia na vile tulivozzoea responsibilities za hizo familia na ile misingia ambayo wanafamilia (kelekeza kwa watoto) inavotakiwa iendeshwe... inakuta kua NDOA ndio institution ambayo inabeba misingi yoote ya maadili... iwe socially, economically ama culturally - naona kuporomoka kwa morals ndani ya ndoa inachangia saaana kuporomoka kwa morals hata katika jamii - hata level ya Uongozi..
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Nilicho ongea actually kinahusu moja kwa moja..
  ukimsoma mtm hapo juu,tuna tatizo la jamii kwa ujumla ambalo
  chanzo ni uongozi mbovu,so unasababisha frustration kwa wananchi..
  na mambo kama hayo ya kutoka nje yanaingia humo humo.....

  watu wakijipenda wanakuwa na matamanio ya kuwa better people
  na kufanya kila jambo kwa mtazamo wa kuwa bora zaidi...and vice versa....
   
 8. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo ugumu wa maisha wewe wadhani ndio chanzo/au kina accelerate hiyo hali ya kwenda nje ya ndoa take the case in Tanzania society? hapo me ntakubaliana nawe 5% of it but its not the major course

  Hata kabla ya Population ya watanzani kuongezeaka zaidi na si Tanzania peke yake hata nchi zilizo endelea still hiyo hali ya watu kutoka nje ya ndoa zao na kula shambaz za njee ilikuwepo na imeongezeka kwa kasi kubwa tu, Hii ni kukosa test kwa Mumeo / mkeo au Girl friend / Boy friend wako au ni tamaaa furani tu za kimwili au kuzoe sana mtu wako muda mrefu unajisikia kwenda kuonja shamba la nje
   
 9. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #9
  Sep 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  The Boss!!!!!

  Kweli wataka kuniambia kuwa na serikali legelege na viongozi dhaifu kuna leta haya yote kweli in simple explanation???? i totally doubt about it bro!

  Hapo sijakupata vyema hebu megua hiyo sentence kwa kiswahili fasaha zaidi au simple kiswahili i mean   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Sep 11, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  kuna kaukweli kidogo japo kuna mapungufu. walitakiwa watuambie kwa watu wanaoishi maeneo ya kijijini wanawake asilimia ngapi wanakwapua nje ya ndoa, wanaume asilimia ngapi wanaokwapua nje ya ndoa
  then watuambie kwa watu wanaoishi maeneo ya mijini % ngapi wa wanawake na % ngapi ya wanaume.

  Binafsi mimi mwenyewe nimeshakwapua wake za watu labda zaidi ya 10 hahaaaaaaaaa!
   
 11. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #11
  Sep 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Unatisha mkuuuu ni baraaaaaaaaaaa number of shambazi umezilima ni 10 ama kweli wewe ni pele sio live bali ni CASH
   
 12. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #12
  Sep 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  AshaDi!!
  Kwa hiyo maadili ya ndoa zetu ndio nayo ni chachu ya kupelekea wanandoa kwenda nje na ndoa nyingi kuvurugika ina athari sana viongozi wetu wengiwao kutowajibika ipasavyo katika kuhudumia jamii tokana ta mtafaruku katika ndoa zao??
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Sep 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280

  uchafu wa clouds fm usilete tena humu ndan hata sikumoja mpwa tukijadiliana tunaonekana wote misukule tumelogwa
   
 14. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #14
  Sep 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mi naona ni kweli na katika hiyo 70% na mi nimo naacha tabia hii
   
 15. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #15
  Sep 11, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  The basic unity of society is family and the foundation of any family is husband and wife. Uovu au matatizo mengi ya jamii huanzia katika hii ngazi ya familia na kuongelea conducts za basic unity ya jamii ni muhimu sana kabla ya kufika huko unakosema mkuu. kumbuka jinsi baba ya mama wana behave kuna determine sana hatima ya maisha ya watoto watakaozaliwa ktk hiyo familia. Suala la kutoka nje ya ndoa ni kubwa sana hasa maeneo ya mjini na linachangiwa na umaskini na tabia binafsi za wanandoa zitokanazo na malezi ktk famili WALIZOTOKA
   
 16. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #16
  Sep 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  Good for u!
   
 17. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  any way kikubwa tukumbuke tulipoanguka tukatubu na tumkabidhi maisha yetu Mwenyezi Mungu yote haya tutayakwepa lakini tusipo badilika tunaangamia kwa ukimwi hakuna atakaye baki
   
 18. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2011
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,138
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Kama wanawake wamefikia 60% , basi baada ya miaka 10 watawapiku wanaume sababu dada zetu
  wa saivi sio , heshima ya mwanamke katika level ya maadili inaporomoka kabisa
   
 19. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  sababu zako kwenye hili ni zipi?
   
 20. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  bila ya kumsujudia Muumba hapa hatuwezi kujikwamua.............
   
Loading...