Eti jamani, kama tumejaliwa tuna kanyumba kako compicated kiasi, tuseme kama ka EL kule monduli, tukiajiri house cleaners kadhaa, wakisafisha nyumba nzima akuwa vibaya?
namaanisha vyumba vyote...
Sasaiv kamezuka kamtindo eti pale unapomtongoza dem au unataka awe mpenz wako,then unamuuliza ka ana boy anakwambia yupo na tena anasoma nje ya nchi huko U.K. au marekani,then unafanya upelelez...
Ukishangaa ya Maksimo ya Paulsen yatakukuta...
ninaishi katika nyumba ya kupanga yenye wapangaji 4 wote wakiwa katika ndoa isipokuwa mimi. kuna rafiki yangu ambaye mara nyingi anafika kwangu hasa...
jamani wana jf nina mpenzi wangu tumekaa nae kwenye uhusiano kwa muda wa miaka miwili na tulikuwa tunapenda sana ila muda ukafika nikaamua nianze mikakati ya kuoa,nilipomwambia tu kuhusu ndoa...
Nimetendwa sana na nimezoea sasa hivi,hata nikipenda yaani nachukulia kawaida,hata akinitenda poa tu wala siumii,aniache asiniache ni poa tu.
Yaani sifeel kuwa ni special kwangu,namchukulia...
Kuna wanaume kwa wanawake wengi walio kwenye ndoa wanavyoishi maofisini laiti wenza wao wangekuwa karibu nahisi asilimia nyingi wangekuwa juu ya kitanzi cha ndoa.
Kuna watu maofisini wake kwa...
Ikiwa imebaki siku moja tu kufanyika kwa shindano la miss universe kule Brazil(jtatu) imenibidi nikate tamaa kwa mwakilishi wetu kule (yaani Nelly Kamwelu).Nikiwa mmoja wa mdau na mkereketwa wa...
Mara nyingi tunaangalia mbele na kusema "sijafanya chochote maana ninapo enda ni mbali sana"
Week iliyopita nilikutana na class mates wangu tulio maliza wote darasa la saba (LY,haha)...
Salam wana JF, jamani naomba mnisaidie , kuna mafuta ta kuchua( masaji) hivi ukiyataka yanaitwaje........? je ndio yale pia hutumika ktk suala la ngono (kumlainisha mwenzi wako) akawa anameremeta...
Wajameni naombeni msaada wenu wana JF!!!
Mimi na mume wangu tumeishi vizuri tu kwa muda mrefu mpaka pale alipofanyiwa surgery kubwa ya tumbo mambo yakaanza kuchange. Ingawa alichukuwa muda mfupi...
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!
Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya...
Inatokea kwenye ndoa nyingi, ambapo unakuta mume anamjali mama yake kuliko mkewe. Kumjali nina maana kwamba, yuko tayari kupinda haki, kumuumiza mkewe, kumchukia na kumfanyia visa kwa sababu ya...
Nilikuwa na rafiki wa kike(mwalimu) kwa muda wa miezi kama 3 hivi tokea tuanze uhusiano wetu,Wiki 2 zilizo pita alienda kumuona mama yake kijijini,baada ya jufika huko katika maongezi tu ya...
Heshima kwenu wote Great thinkers, let me share with you This 10 traits of the real man, maana kila siku post za malalamiko ya kufanywa ATM, Mara nataka nioe sina kazi, mara nimetegeshewa mimba...
Nipo kwenye daladala narudi nyumbani, ila yamezuka mabishano hapa kati ya akina dada(wanawake) na akina kaka(wanaume), kuwa ni nani apaswae kula paja la kuku iwapo kitoweo hicho kitapatikana...
By Stella Brikey
It is Saturday evening and this writer and a friend decide to go out for a beer. We choose the Q-Bar in Msasani, which comes highly recommended for its live music. The...
Jamani wana jf hii nataka kuwamegea washikaji kuna binti nilikutana naye SGD kitambo kidogo nilimpenda sana nilimfaham kwa jina moja 2 la REHEMA lakin ghafla akaondoka kwenda dom nilimtafuta bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.