Hivi kwa nini kila inapotokea tafrani kidogo huwa mnapenda kuwaadhibu wenzi wenu kwa kuwanyima ile shughuli pevu? Yakitokea mabishano kidogo basi mdomo utavutwa mchana kutwa na ikifika usiku...
Hii ni research nimefanya kwa watu ninaowajua na nisiowajua kuna wanaume wengi waliokwenye ndoa
wameshindwa kuweka sawa mambo yao kwenye ndoa lakini wakitoka kwa nyumba ndogo kuna ambao walikuwa...
Demu wangu mpya hatakaki tufanye mapenzi eti hadi tufunge,ndoa,nikamuuliza kama ni bikira,aksema ni mipango ya Mungu
dah hapa sijielewi,au ndivyo illivyo?
hello wana JF mimi ni baba wa mtoto mmoja wa kiume na nina miaka 26 na bs in computer science tatizo langu ni kwa bahati mbaya tulishindwana na mama wa mwanangu na kukimbilia Dubai kwa ndugu...
Wana JF,
Last week kipindi cha Jahazi - Clouds FM walitangaza au walisema kuwa wanandoa wanao tembea nje ya ndoa zao kwa wanaume ni 70%(hutoka nje ya ndoa) na kwa wanawake ni 60%(hutoka nje ya...
kuna jamaa mmoja majuzi alikuta pakiti ya kondomu katika pochi ya mke wake ambayo ilikuwa imebaki na kondomu moja, kwa maana hiyo pengine zilikuwa zimetumika mbili kwani kwa kawaida huwa zinakaa...
Do you remember those days,when you couldn't even eat before you
saw or talked to your love?
Yes,i do.
My first love was when i was back in secondary school.
I was young,but am sure that is...
Najua ni kweli kuwa kwa % nyingi mwanamke ameumbwa kimatamanio mbele ya macho ya wanaume hivyo kutongozwa ni lazima bt kwa leo Napenda kujua kama ni jambo la busara kwa wanawake/mpenzi/mke...
Hivi leo si ajabu kumsikia mwanamke akikueleza kuwa amedumu kwenye ndoa/uhusiano miaka kenda, lakini hajawahi kufika kwenye kilele cha huba, anatamani kumsaliti mwenzi wake ili kupata raha...
shemeji wa kike wa baba yaNGU mdogo anani hitaji kimapenzi,tena ana niambia mimi na yeye si ndugu kabisa,zaidi baba yangu mdogo kumuoa dada yake.Na akaonggeza wazazi wake yeye waliooana ndugu...
Jamani wana JF maji yamenifika shingoni,
Ni mume wangu nampenda na kumuheshimu sana ila kuna mambo yanayonikera,mda mwingine ananilazimisha nikae naye kwenye baa mpaka usiku sana nikimshauri kuwa...
Najua wapo weng watajiuliza maswal meng sana ila ni kwel kwamba natafuta msichana ambaye baadaye atakuwa mke wangu,
vigezo
umri:asizidi miaka 23
awe tayar kupima ukimwi
asiwe mref wala mfupi...
Una shosti wako mpenzi; wote mmeolewa na mnaishi vizuri na waume zenu!
Kutokana na ukaribu wenu, waume zenu wamejikuta na ukaribu fulani.
Umepata safari ya kikazi nje ya mji, na umepata room...
hello jf...iam very serious with this!!mimi ni kijana mwanaume wa umri usiozid 30...maisha yangu kwa ujumla ni ya kawaida kwa sasa kwani ninajitegemea..najitokeza kwenye jukwaa hili kwa request...
Nilimfahamu mwaka 2000,wakati huo wote tulikua waajiriwa wa kampuni moja ya kusafirisha mafuta,kwa sasa ni mfanyabiashara binafsi na ni rafiki yangu,aliniambia tatizo lake kama ifuatavyo;ana...
Hivi hapa MMU mpo na Mkeo/Mumeo?je mnajitambua mnajijua?kila mmoja wenu anajua ID ya mwenzie?Je ndani simnajimwaya?kwani hapa ni somo tosha!Au kila mmoja kimyakimya?Maana kama mnajuana ID lazima...
Wapendwa wanaJF
Ni matumaini yangu wote mu wazima. Nimewamiss sana wote.
Kwa mara nyingine tena ninawaomba tushee pamoja baadhi ya kumbukumbu (memories) ambazo tulishawahi kuzipitia kwenye...
Jamani i have been seeing this kwenye maeneo mengi na kwa wanawake wengi, hawapendi kutaja umri wao kabisa hasa wale ambao tayari kaumri kao kamevuka miaka 25, why?
Hebu chukulia kwamba mumeo amefikia mahali kwamba, hana anachokusaidia, yaani ni mzigo. Ni mzima wa akili, mwili na anafanya kazi, lakini hana msaada wowote kwako. Wewe ndiye unalisha familia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.